am telling you alafu kuna Sisi ndio baba ndio mama thank God 😂😂
2025-01-16 19:37:02
0
Maggie makanya :
please Doc.talk to kimaru to counsel people about alcohol
2025-01-08 22:55:09
2
Rasta :
Alafu upate jamaa anaikanyanga ama anacheza ball nayo after shule, hawa jamaa wanatuzoea
2025-01-08 21:11:40
1
mataj :
saa hii ni 3k🤔🤔tunagongwa bila huruma
2025-01-08 21:16:29
2
Shovan Bridgit :
so expensive I buy oversize nakuweka makaratasi mbele natumia paka class 8😂😂 wangu ni watatu u can imagine 😄
2025-01-09 16:32:19
1
wmumo™️ :
na hio Rolex🙆
2025-01-09 08:33:19
1
@mamake harrie :
mm nayo wangu nilikua nanunua per term my friend ako grade 1 sai nilinunua size 33😂😂😂😂😂😂naeka carrier bag ndani iyo kiatu lazma avae hii mwaka yote staki mchezo
2025-01-09 20:25:50
0
big dady :
🥰
2025-01-09 05:22:33
1
To see more videos from user @lifestyle_and_health0, please go to the Tikwm
homepage.