@zanzibarcosmetics5: Extreme Glow Supreme Whitening Carrot Beauty.....SH 60000 ✅Kuchubua na Kung'arisha Ngozi:Ina maelezo ya "Supreme Whitening" ambayo inaonyesha kuwa inalenga kuifanya ngozi iwe nyororo na yenye kung'aa zaidi pia hudanya ngozi kuwa nyeupe ✅ Lotion hii ina mchanganyiko wa Mafuta ya karoti na yanaeleweka kusaidia kama 👌Kuboresha rangi ya ngozi. 👌Kurejesha unyevu wa ngozi na kuifanya kuwa laini. 👌Kupambana na madoa au rangi zisizo sawa kwenye ngozi. ✅Kulainisha Ngozi:Beauty Milk hii ni nyepesi kwa ngozi na inalainisha ngozi kwa haraka Sana na hufanya ngozi kuwa nyororo yenye kutereza ✅Kuondoa Madoa ya Ngozi:Kwa watu wenye matatizo ya madoa meusi au ngozi yenye rangi zisizolingana, inaweza kusaidia kuboresha hali hiyo ya ngozi na kufanya uwe na langi moja

JACKITO BEAUTY COSMETICS
JACKITO BEAUTY COSMETICS
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 January 2025 22:26:01 GMT
205
5
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @zanzibarcosmetics5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About