@abubakary_mtandika: Kumekuwa Na utaratibu Wa Wajumbe Wanapo Chelelewa Kuingia Kwenye Kikao Kutoa Salamu Mjumbe Unapo Chelewa Kuingia Kwenye Kikao Huruhusiwi Kusalimia.
sasa mwalimu mbona tunasikia wajuzi wa mambo wanasema,, yakuwa mwenyekiti ndiyo mtu wa misho kuingia kwenye kikao hii imekaaje kulingana na darasa letu la leo,,???
2025-01-09 20:01:28
1
lilmantruth :
nakufatlia sana mtandika
2025-01-09 16:32:52
1
user3961309349719 :
Sawa Mtandika.👍
Tena kuna wengine salamu zao za kushika mikono ya wahudhuria wote na kulazimu kutatiza mawazo yanayohojiwa.
2025-01-10 10:02:02
0
Abdully Jadu :
kaka wenda vikao vya kirai ila kijeshi,lazima usalimie,anasema ivi jambo afande naomba kuongezeka.
2025-01-10 09:43:41
0
madevu :
nakukubali sana unatisha
2025-01-10 09:15:23
0
mjukuuwaburhan :
asee mpaka mwaka unaisha huu mungu akinipendelea uhai nitakuwa ninejifunza mengi sana
2025-01-10 07:22:12
0
Silas Lukas :
Asante kwa darasa
2025-01-10 07:14:21
0
To see more videos from user @abubakary_mtandika, please go to the Tikwm
homepage.