@boazdanken: Ufunuo wa Yohana 19:11-16 11 Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa-kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita. 12 Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe. 13 Naye amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aitwa, Neno la Mungu. 14 Na majeshi yaliyo mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe, safi. 15 Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili awapige mataifa kwa huo. Naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi. 16 Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA Bwana WA MABwana. #theKINGisComing #YESHUAH

Boaz Danken
Boaz Danken
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 11 January 2025 19:16:55 GMT
51148
4172
80
297

Music

Download

Comments

gloriamushi
Mama Te🦋 :
Yaan nawaza sijui siku nikibahatika kukutana na wewe ukiabudu hivi sjui nitaabudu vipi mbele za Bwana kwa namna hapa tu machoz yananitoka kias hiki nikitafakari ukuu wa Bwana 🙏
2025-01-13 07:40:43
9
user5477798147742
Rachel swai🤗❤️ :
Sorry Song name🙌❤️
2025-01-12 03:51:32
2
cffthikaeastmuguga
C.F.F Muguga :
the one that touched us
2025-09-21 13:15:35
0
samweli.hoseatz
SamweliHoseaOfficial :
naomba link za boaz kama unamkubali🔥🔥🔥
2025-01-12 08:39:21
4
_gfrey20
Geofrey GM10 :
Amen
2025-08-20 01:55:05
1
zephy280
user8110056910321 :
Jina la wimbo please 🙏
2025-01-12 11:31:28
2
catherineadamson6
𝓜𝓻𝓼 𝓽𝓻𝓲𝓷𝓪𝓱🥰🥰 :
tulikuwa pamoja na boaz katika kazi yake sema Amina🙏
2025-03-24 16:20:03
2
sety_mtaalam10
Sety Mtaalam 10🐟 :
mataifa yote yanaogopaa .. hakikaa Mungu hafananishwii barikiwaa sanaa Boaz 👋👋
2025-01-11 20:48:43
1
natasha.karelia
🩵Nannar☁️🌠🌺 :
this song is a blessing to me 🙏💯
2025-02-15 09:41:12
0
godejo3
Godfrey 77 :
Mungu baba mbariki Boaz akue zaidi na zaidi ameeen 🙏
2025-01-11 20:02:29
2
prof.betunda
Prof.Betunda :
You really bless me sir with your ministry 🙏🙏,,Mungu akuinue zaidi
2025-02-24 12:14:47
0
user6702066588768
Love :
huuu wimbo naupenda Sana. ila kitabu Cha ufunuo sikielewagi
2025-08-17 05:46:31
0
rexon.laurian
Rexon Laurian :
amen 🙏
2025-08-17 05:28:39
0
fmutheu3
fmutheu3 :
yeshuah.......
2025-02-10 09:23:58
0
abeljohn201
ABEL JOHN :
amen
2025-01-24 14:24:52
0
shazzie369
shazzie369 :
This song My God🙌🙌❤❤❤
2025-01-24 03:41:37
0
rehemaemmagmail.com
mwinjilist Rehema Emmanuel :
nakufunika kwa Damu ya YESU kwa ajili ya vizazi na vizazi mataifa yote
2025-02-10 01:46:04
0
evanjilima
Cute_soph :
Amen 🙏🏽
2025-01-12 07:17:17
0
lewisterry522
lewisterry522 :
Amen
2025-01-14 15:23:17
0
favor90867
Favor :
wooow ,I really like your worships ,
2025-01-15 04:39:21
0
user132967612
Sarah :
ur inspire my life
2025-01-18 11:09:27
0
user9551050849021
hi :
hongeren kwa kaz ya bwana munguu awabark sanaa
2025-02-07 17:41:23
0
armour777
Pretty Gibson :
pumzi ya Mungu ni uponyaji.
2025-01-16 20:56:41
0
user27031449774287
user27031449774280 :
Ubarikiwe sana mtumishi tunakupenda sana.
2025-01-16 14:53:24
0
carolobesh_6
@Aseyoo22 :
Finally finally 🙌
2025-01-12 18:45:42
0
To see more videos from user @boazdanken, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About