Nitawacha n mie kujiondokea sita wauliza wala kutak chochote kwao
2025-01-12 16:44:56
7
Sapnah❤️ :
Bff wang hawez kunisalit🥰
2025-01-14 18:19:15
5
🔐Lynee💍❤️ :
Nina waacha 🙏tyu 😂 namove on
2025-01-12 13:20:02
4
Debby❤🐝🐝👀 :
najuwa haiwahusu but nmenunuliwa gauni
2025-01-14 21:26:21
4
Princess✨👑 :
nitawaacha nitaondoka nikifanya ivyo itawaumiza kuliko kupigana
2025-01-12 16:15:22
4
E&S🌸🌚 :
Inategemea km BFF ana pesa nitamsikilz anasem nn tajir 😂😂
2025-01-13 08:38:29
3
💕👌🏿 :
achana naeanza upya.ila hawato dumu ❤️
2025-01-12 09:57:18
3
Larissa dona :
mmoja namkata kinjunju mwingine namkata uume acha iwe limao 😂
2025-01-12 10:53:43
2
Rehema Devid :
kulikua na ulazima gani wa kuweka hako ka mguu kako kazuri hivyo na viatu vya ghalama Hadi nimetaman ila swali la juu cjaelewa macho yangu yameangukia tu kwenye ka mguu na viatu bac😂🥰
2025-01-14 20:09:26
2
M.i.m.a.h🦅 :
Uwez jua hii pain Kama hayajakukuta😌 uwez fanya chcht unaishiwa nguvu kabsa
2025-01-15 10:20:36
2
Dayna Aloyce :
yamenikuta aisee like libint lilkuwa linasema.halimfaham mpenz wang vzr kumbe ad namb washa pean aisee nlipojua bint aliaibik lkn mwanaume alkua anaktaa nliaznguana nao wte
2025-01-12 18:24:18
2
letymajoa :
nitawacha na sitowauliza hata ck moja na nitafanya kua marafiki zangu zaidi
2025-01-12 17:55:57
2
Cwrypie🥰 :
Nitawaacha wote coz ni wasaliti💔 hakuna haja ya drama
2025-01-12 17:51:04
2
Pretty zuuh :
Kwan bff sina wala mpenz sna😂
2025-01-12 10:20:25
2
Brinah🧸 :
Wote ntwasame t bn aaa 🤣
2025-01-12 13:46:25
2
Lucia Julius :
ninyamaze maana nilisha mkuta bff na mme wang na sikufanya kitu niliishia kulia tu😭😭😭😭
2025-01-16 13:50:48
1
🎀🌸ىɩɷŋʏ🌸🎀 :
😂kama nina bastora piga wote shenz yan wakutane kaburin uko
2025-01-12 14:25:16
1
Deelyne :
Amna kufoc mambo
2025-01-13 09:48:46
1
Malaika🦋🥰__ :
nitawaangalia tu af nitaondoka baada ya hapo ni kuwafuta t kwny maisha yangu wote wawili💔
2025-01-14 21:49:55
1
Cliff_barbershop :
Uzuri sin Bff 😁😁
2025-01-13 04:11:44
1
💐Ms.chinese💐 :
tunampiga kwanza huyo mkaka then ss tunaenda kunywa beer 🍻 😂😂😂
2025-01-16 18:17:16
1
haimary fresh juice :
Nitawacheka tyu 😂😂
2025-01-12 10:02:34
1
Miss P❤️🦋 :
Sianz na yyte ila wakate kiu mbele yngu bila uoga wakimalz ntjua chakuwafany😅
2025-01-13 04:44:07
1
hanna :
😁😁😂😂😂😂weeeh
2025-01-12 17:48:15
1
🦋Say Darling🦋 :
nyieee wote mnaosemaa mtazichapa amuwez🤣ni mtaduwaaa mtashindwaa mfanyajee yaan mtaduaa mtakua kama hamuamini🤣🤣😹
2025-01-13 05:08:54
1
CHUNTA❤️🧸 :
Hii dhambi yakutembea na bae wa BFF inatutafuna saaana😂😂😂au ni mimi tu😂😂
2025-01-16 16:32:41
1
rosey :
bff ndo mpumbavu mwana ume anatamaaa tuu
2025-01-14 17:17:24
1
brinah :
sianzi na wowote na ntaishi nao kama hakuna nilicho kiona vile 😉😉😉
2025-01-14 16:15:11
1
samraty aly :
nakaush 2
2025-01-14 13:32:37
1
Officialmanka💜🔐 :
nitawacheka sana kisha nitaondoka zng ktk maisha yao wte
2025-01-15 07:36:27
1
preciouspurity :
Nawaacha wa enjoy si ndo walivyo amua
2025-01-17 16:05:29
1
exquisite 💕 :
Hizo nicomment tuu jaman yakikufika hasira ndio inafanya yake
2025-01-12 19:53:02
1
_._.🎀MRS JR :
Bff sina mpenzi nnae😳🤣
2025-01-13 08:25:37
1
Chugga Lady❤️🦋 :
parapanda italia kwa Bff
2025-01-12 14:43:14
1
Nureen011 :
@WAA♋️💜 eti😂😂
2025-01-12 14:57:34
1
lishar :
NtaanZ na huyo kunguru mweuc maana ndo tunawez kuzchapa💔😏