@chido_point: #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯 #alltheworld❤️ #viral_video #aweeeeee😍😍😍😍😍😍😍 #ticktoktanzania🇹🇿

Chido_point
Chido_point
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 January 2025 11:01:00 GMT
42332
1629
33
58

Music

Download

Comments

shuu3455zjy
shuu🦋 :
nakuja kesho location pls
2025-01-13 12:33:37
0
betha..a.p..sup
💕😘BETHA 💋SUPER 💕😘 :
hii nywele Bei Gani dada?
2025-01-12 11:25:21
2
adolfinangatunga
phina61# :
inaitwaje
2025-01-12 11:55:50
2
user3200754066196
mosi mussa :
chido hizi nywele ntaweka dawa jamani mbn unanichanganya😔🥰🥰🥰
2025-01-12 13:27:39
1
teehsingah2
teeh jr :
uyu dada hua anadamshi San cjui kwnn 🥰🥰🤣🤣
2025-01-12 18:21:59
2
afrikanqueen7
lilian :
Jamani we dada unajua hadi unakera chido
2025-01-12 15:54:23
2
07magemiss
missmagreth :
Nywere imetubu 🥰🔥
2025-01-13 05:33:44
1
kimcanash03
kim_canash_lanadon😜 :
nywele fupi? natural unasuka
2025-01-12 18:47:21
1
lissahall892gmail
[email protected] :
mnapatikana wapi
2025-01-12 15:23:32
1
naifatymedy0
user399493661501 :
ivyi mtu mweusi akisuka izi ana pendeza
2025-01-12 15:04:09
1
user448246576545
luu🌹 :
sie wa zanzibar tunaipataje iyo nywele jamn
2025-01-17 13:48:38
0
neycute22
Ney cute22 :
hii ukisuka unakaa nayo siku ngapi da chido
2025-01-16 05:59:01
0
liliantmmmm
liliantmmmm :
dachido tupo mkoani hiyo nywele inaitwaje
2025-01-15 16:51:12
0
angelabaibe
Angela Baibe :
nywele Gani mnatumia kusuka hii hairstyle
2025-01-15 07:03:02
0
mtototunu1
mtototunu1 :
unapatikana wap
2025-01-14 21:11:32
0
jaquline.godwin
Dee~Love❤️❤️❤️ :
Bei chido
2025-01-13 22:22:24
0
janejoseph73
Prettyjeni :
Bei gani
2025-01-13 21:59:42
0
fouad.bakary
Fouad Bakary :
Bei gani hio nataka nimlete wifi yako
2025-01-13 16:56:27
0
imeldamwaisakilah
imelda mwaisakila :
🤣
2025-01-25 16:33:54
0
saidtheodora8
----Cute Theo❤️ :
🥰🥰🥰
2025-01-18 14:32:02
0
rosemyna1122
🦋 Myna ❤️ :
@it's reen💖 njoo upendeze dooh nimetaman walai
2025-01-13 18:13:15
0
dingijay
dingijay :
kama ivyo shingp da chido
2025-01-13 14:42:39
1
teehsingah2
teeh jr :
Ambao tupo mbali tuambie nywele inaitwaje jaman
2025-01-13 08:33:31
1
user8450624061496
user8450624061496 :
ni nywele zake au aneshonea
2025-01-12 15:44:36
1
linah.bernard.juni
linah bernard junior ♥️ :
nzuri nakuja jtatu kutengeneza ivi
2025-01-14 06:52:31
0
To see more videos from user @chido_point, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About