@hemedjumaa: #sheikhmselembinaly

Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 January 2025 07:07:41 GMT
663270
19170
704
4747

Music

Download

Comments

dhinura.ramadhan
Dhinura Ramadhan :
mimi nnamiaka 7 lakin bd moyo unauma💔
2025-01-13 10:23:00
68
misszanzibar2
MISSZANZIBAR😍 :
Wanaume wa Africa anasema ukitaka kaa hutaki ondoka mm ndo nishaowa
2025-01-13 15:25:39
22
23baniz
22ashanti :
ukewenza wasasa wakurogana waume mwaletea wake zenu shida
2025-01-13 13:57:45
53
ashminahh
Ashmina__ :
Bora kuolewa mke wa pili kuliko kuongezewa mke mwingne😂😂
2025-01-14 06:12:06
25
queenzuu301
queenzuu301 :
huyu mm ndio shekhe wangu jamani ana huluma na upendo shekhe mselem nakupenda kwaajili ya allaha🥰🥰
2025-01-13 10:56:35
65
ameirabdallah817
ameir abdallah :
moja kati ya masheikh wakiongea kitu wanakufahamisha vizuri kwa utaratibu mzuri kabisa.
2025-01-14 07:23:44
33
idrisakita
DULA Mjukuu :
Allah ajalie wana wake wapende uke wenza INSHAALLAH 🤲
2025-01-13 13:56:19
16
ahmad.mdowe
Ahmad Mdowe :
jambo hili ndo nalifikiria mpk saiv nipo ktk ndoa miaka 10 . nampenda sana mke wng ila kuna mwanamke anataka nimuowe dah
2025-01-13 08:59:58
22
www.tiktok.comnana900
crisnanas :
mapenzi ni ya watu wawili. zaidi ni usherati tu. iyo Quran ichunguzeni vizuri. moyo mmoja hauwezi penda watu wawili wakati mmoja.🙄
2025-01-16 05:02:57
8
josfine75
Josephine Ingram758 :
na halali ambayo inapendwa sana na wanaume ni kuongeza wake hata kama hana pesa za kutunza hao wake na watoto wataozaliwa
2025-01-13 19:21:00
13
user8850740988673
max a por HD :
mim natak uke wenza mwenye wake njoo hapa
2025-01-13 07:27:58
13
shaban.mussa33
Shaban Mussa :
Hii sunna wanawake wengi huipinga vikali sana😅
2025-01-13 13:48:27
12
catherinecyrilo
catherinecyrilo :
japo ni mkristo nimependa mafundisho ya sheheee
2025-01-13 11:14:31
26
user9794038585843
namidhighi :
walipooa wengine ndo tulikimbiwa
2025-01-13 10:41:16
5
juliusiranga
juliusiranga :
Wewe ndio shekhe niliokusokiliza na nafsi yangu kufarijika. sio wale janja janja.
2025-01-13 09:15:04
15
stella.shiyo
mashio og👌 :
katika mashehe Tz nzima wenye akili ni wew umeongea point 💯🎤👏👏
2025-01-14 18:51:06
6
suubbby
malipo ni hapa hapa duniani :
ukewenza wasasa wamroga mke mkubwa awe hana thamani tena
2025-01-14 14:04:45
5
samih2727
SAMIH :
Yaani sheikh ungejua tuanyopitia baada ya wme zetu kuoa ungesema na wme wte juu ya ukewenza
2025-01-14 06:22:13
5
ghaninova3
Madam Neeli 🦋 :
uchungu wa ukewenza wa saivi tofauti na wazamani wanawake saivi tumejitambua ukewenza unaumiza pale mke ukawa huna mali zako unamtegemea mume lakini ukiwa na vyako machungu yanapungua.
2025-01-13 16:44:25
6
appstore793
appstore :
wengine walipooa wametukimbia na kutuona takataka Nani nitamwambia uke wenza hauna tabu 😭
2025-01-13 14:14:40
5
dedusha_25
Dedusha_25 :
ukiona hivo ujue anaeolewa wa pili atakua Hana bahati juu mume saa zote bi mkubwa akikasirika tuu huyo kaenda kubembeleza
2025-01-13 13:13:10
6
jumakingindo2
Juma Kingindo :
mashaallah tabarakallah nakupenda sheikh wangu kwaajili ya Allah
2025-01-13 07:37:47
6
teetoto_8
. :
Hatukatai ukewenza ila hawatendi usawa aisee uadilifu hakunaa mume akishaoa tu mke mkubwa umeishaa
2025-01-13 15:14:03
7
bi_rehema
Rehema :
na Hawa wanaoa hawana hela wataka mke ajihudumie mwenyewe ni msiba Wallah
2025-01-13 11:34:15
5
mamy.ozil
Mamy Ozil 🦋 :
😂😂😂mke mwenzangu nipokee to dada yangu tupendane sana mume wko kashapenda nikubarie to nije uko
2025-01-13 13:04:37
2
To see more videos from user @hemedjumaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About