@humblesteph01: Weeeh u not ready guys😂🙌🏻#nirthday#fyp#goviral

humble🦋stephanie💜
humble🦋stephanie💜
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 15 January 2025 12:24:04 GMT
373986
16419
276
139

Music

Download

Comments

susannyambura21
kanyambu❤️ :
120K nguo moja na ata 120 bob niko na kama mbili😂😂
2025-01-15 16:43:44
222
dorothygladys
Dorothy gladys :
eeeeei hii January mnatoa wapi pesaa 🥺🤔🤔😂
2025-01-15 12:31:24
54
milkawaise
Millie :
kwany kuna nguo ya more than twedy k😒
2025-01-15 12:41:35
123
user8886825686138jasmine
lastborn :
hiyo n shamba robo kwetu😂😂😂
2025-01-15 14:26:04
10
faithkelonye
fay fay :
120k na mm hii January Ata 5k sina
2025-01-15 21:55:13
16
mukami780
🌴𝚕𝚞𝚌𝚒𝚎𝚕𝚕𝚊⚡ :
nguo zilifika hundred thousand lini nguo za bei kali nshai vaa za thao😂😂
2025-01-19 16:09:09
0
hadley554
Hadley :
kwani cku hizi birthday ni 2 kwa mwaka 🤣🤣🤣🤣wee
2025-01-16 14:43:25
6
big.machine88
big machine :
hizi birthday za tiktok mmojo zingine zinaanza kufuatana
2025-01-15 19:21:17
23
joannyaboke6
Joan 🧚💞 :
ako wapi kwamboka anioe aki😂
2025-01-15 19:04:59
126
onekeshy
️ :
hizi birthdays sasa zimekua overrated,point ni kuona tu who will dress better nani ataleta more gifts etc! yani hawa tiktokers wanangoja tu such burials na birthdays ,shame!
2025-01-16 08:51:01
5
pinkypesh1
💖PINKYPESH💝 :
kwani kuna nguo imepita tuuu k guys😫😫😫😫😫
2025-01-16 06:48:42
12
machakosfinest12
🦋Shee🦋 :
Na mimi na struggle na rent ya 5k 😂😂😂
2025-01-15 17:35:33
6
user5945206165998
shii irungu perry :
huyu ni yule mary linda mchafu😅
2025-01-18 05:33:37
12
paulacollection04
PAULA COLLECTION :
Watu Kenya wanabishana kununua nguo za birthday,alafu Kuna wengine wako uarabuni wanangangana kuosha choo atlist wanunue plot wajenge haki hii Dunia sijui
2025-01-17 14:22:35
2
kendikaranja
Kendi Karanja :
kwani kuna nguo imepitisha 1500🤣🤣🤣
2025-01-22 21:27:06
3
shillashanzu
Shillashanzu61♋ :
Me chilling with my 10bob mtumba dress😂
2025-01-15 18:12:36
5
markyjuma41
tripleA Ryan :
muko na kazi na hizi birthday zenu
2025-01-17 19:54:09
2
n_y_a_m_bu_95
Mikiyas Daughter 💖 :
Mimi nikapata ume screenshot conversation yetu Una share ovyo ovyo urafiki inaisha hapo hapo 😅 siwezi ku trust tena..kuambiana kuko kuelewana ndio balaa siku zote kua roho mbaya 🤣🤣
2025-01-16 14:44:57
3
dosha70
candy :
yaani mnakuwanga Na pesa ya kupea watu wakiwa wamekaa chini,siwezi gift mtu mimi😂
2025-01-18 09:56:22
3
norahmwaks
Norah :
Hanna ulizaliwa mara ngapi kwa mwaka? Niko na anger issues
2025-01-17 09:52:58
3
nitemacongala
nitemacongala :
Aki hii tiktok ikiwa banned si watu watasuffer nguo ya 120k😳😳😳😳
2025-01-26 14:07:52
1
mitchellemwangi5
kasweetie.16 🇰🇪🇴🇲🇴🇲 :
marrylinda anaconcentrate n taps and roses hataki hiyo story za birthday
2025-01-21 10:01:44
4
magdalenemutinda4
Maggie :
tap tap guess team😂😂😂😂
2025-01-18 08:34:59
2
annitahdaniel1
🌸Annitah_daniel1🦋🩵 :
😅😅nmekwama hapo pa i want to look good for your birthday
2025-01-17 02:11:02
2
namisoo77
𝐧𝐚𝐦𝐢𝐬𝐨𝐨 :
daughters of mumbi wako mboka
2025-01-18 10:42:01
1
To see more videos from user @humblesteph01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About