@ahmadimaliki1: Kuna mtu anaitwa hasidi anachukia mafanikio ya mwenzake#tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #islqmic_video #islqmic_video #tranding #mawaidhayenyemanufaa #viral_video #quran_alkarim

Ahmadi Maliki
Ahmadi Maliki
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 January 2025 18:31:25 GMT
145885
11883
249
4155

Music

Download

Comments

ukhtysk7
UKHTY SK PRODUCTS ♎️ :
Ninae nyumba moja napata rizki na ye anakula kupitia rizki hiyo lakin hanipend kabisa anatamani yanifike makubwa sana sana najipanga nihame tu basi
2025-01-22 07:29:56
11
user6872955476524
Amina :
Tumefanyiwa hasa tena na ndugu zetu wa damu bado tunawarehemu na ndotoni wanatuijia
2025-01-16 05:29:24
23
khalidynurdini
mzulu wa TZ,🇹🇿 :
shekhe utoe rock tuichukue utapata thawabu sio vitu vyakuroki please 🙏🥺
2025-01-16 10:19:37
11
ummuabubakar06
ummuabubakar06 :
Allah atuepushe na mahasidi ambao kila saa kutaja neema za watu na kuita watu wana kibr 🤲
2026-02-06 20:55:30
0
zule.collection
Zule.collection :
moyo unaniuma sana kusikia haya maneno,maana ndio mtihani mkubwa sana kwa sasa😔
2025-01-17 13:00:47
13
rizikimohamed37
rizky :
Allah.atuondole mahasidi na atuepushie
2025-01-16 03:49:07
16
user67405729868576
user67405729868576 :
Mashaallah shekhe wetu, maneno mujhalabu
2025-01-16 09:30:00
7
user8850740988673
max a por HD :
mwenyez mungu niepushe na watu wenye hasidi nikae nao mbali Amini yarbii
2025-01-16 15:46:54
7
abdallahmuhamma0
abdallahmuhamma72 :
assalamu alaykum shekhe...tunakuomba utufungulie tuwez kuchukua hizi video shekhe...
2025-01-21 17:35:25
7
kasita.kasembo5
Kasita Kasembo :
Shekh Allah akupe maisha marefu Amin🙏🙏🙏
2025-01-17 10:31:28
6
islamic_motivates_speker
islamic speaker ☪️🕋 :
Tuwache hasadi tukaye mbali na hasadi
2025-01-16 19:22:02
6
zuhurasalum1
zuhurasalum1 :
shehe wald usifunge nasi tupate kuweka
2025-01-16 07:34:35
4
catszone9950
catszone :
Gasidi mwisho aitwa mawanga ama mchawi anakuwa hivyo
2025-01-16 13:08:41
5
mikotaabedi
Mikotaabedi :
Allah atuepushe kuwa miongoni mwa wanaohusudu au wanaohusudiwa
2025-03-29 11:09:52
1
ramabongebonge
brother rama :
hakika shekh waridi tena ni ndugu zetu wa damu husda zimewajaa vifuani mwao allah atuongoze in shaa allah
2025-02-25 16:09:20
3
swaumuyusufu
Swaumu Yusufu :
mawaidha mazr san kwa maisha ya sasa yanayo tuzunguka ktk maisha
2025-01-27 05:11:50
3
tatizo.kamdomo1404
TATIZO kamdomo :
kwanini kwanini
2025-03-04 05:40:51
2
user7253811568020
💗 Mommy💗🌺 :
hasidi hana sababu mtu mbaya sana.Allah tuepushe mbale.
2025-01-18 15:57:09
2
shabani.hajji
Shabani Hajji :
Allah akuhifadhi shekh
2025-01-21 17:37:21
1
ghreebzam
ZAMZAM BEAUTY 🥰🤩😍💞💘 :
hasad mbaya
2025-01-18 07:59:05
1
amayra_094
🪷Amaيra🪷 :
Allah atuepushe na watu kama hao🤲🏼
2025-01-24 12:57:18
1
mwanaharus.kumala
Mwanaharus Kumala :
kweli😏
2026-08-05 05:56:32
0
allyjuma540
Ally Juma :
nakupend xan shk
2026-01-07 19:55:24
0
habibhemed0
Habibhemed :
Allah atulinde wenye hasidi😭😭😭😭😭
2025-01-16 18:45:20
0
To see more videos from user @ahmadimaliki1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About