@mkekawambao1: Kamata fursa. Kwa mtaji wa #elfu 20,000 tu. Ni rahisi tu! ni hivi, hizi #paving Molds ( maumbo ya kutegeneza pavements ni rahisi kutumia) 1. Unanunua na inakuwa biashara yako, yaani wewe unafyatua pavements kwa wateja ( note, haya maumbo yanaokoa gharama kwa #asilimia 50) 2. Au wewe unanunua unakuwa #unawakodisha watu( fursa kubwa hii mikoani) 3. ⁠Ni rahisi kutumia na unazalisha #paver unazotaka wewe ( yaani ratio/uuwiano wa cement na mchanga unaohitaji wewe) 4. ⁠uzuri wa hizi unafyatua #moja kwa moja site. Hakuna yale mambo ya eti mpaka #nizalishe pembeni alafu baadae ndio uzipange ( zinaokoa muda na gharama 🔥🔥🔥🔥) 5. Kwetu #January haiwezi kuisha #kinyonge sana 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾( zote kwa sasa ni nusu bei) Kamata #Fursa Chap, #ongeza kipato kwa mtaji mdogo kabisa. Kariakoo Gerezani mtaa Wa Kiungani na Nyamwezi ☎️☎️ 0738282811 ☎️☎️ 0747 753 566 ☎️☎️ 065 581 9992

Classic_finishestz
Classic_finishestz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 January 2025 12:14:05 GMT
77840
2176
40
323

Music

Download

Comments

notmyproblem309
notmyproblem309 :
halafu mixer ya zege inakuwa ni kiuno
2025-02-09 22:22:27
1
eric_fredy
nhd_store :
unapatokana wap
2026-03-08 14:24:00
0
nkalangosonstore01
p-Nkalango :
I love you my sister 🥰thank you so much
2025-01-21 17:54:27
0
makungu28
makungu :
mold za stone tiles unazo
2025-01-18 02:54:01
0
barkis_77
Golden saw :
upo wapi
2025-01-28 08:16:17
0
user5034477779835
ester :
yan katika fursa big big boss aaah aiseee namba chapu nichukue
2025-03-04 13:09:36
0
mrs.discount
Mrs discount :
🥰🥰🥰
2025-01-21 18:53:40
0
ayisha2517
jina :
😘😘😘
2025-01-20 13:59:20
0
lightness9283
lightness :
duka lipo wap
2025-01-19 14:28:46
0
gosbert_
gosbert :
haya nenda na hio plastic zako njombe tuone kuongea ni rahis lakin
2025-01-19 14:34:57
2
roserinykobelo26
rosekobeloriny💞 :
nahitaji nipo chalinze
2025-01-28 16:25:37
1
isaiah.chambala
Isaiah Chambala :
🥰
2025-01-19 15:36:24
1
mkuuwa_majeshi_ya_kimara
silver medal engineer :
nataka pc 10
2025-02-14 04:47:02
0
afro_killa15
swizzy360 :
karibu LBL in biashara unawekeza mtaji huo huo ndani ya mwezi umeshairejesha na kuanza kula faida mwaka mzima..nicheki 0714261845 WhatsApp
2025-01-31 11:16:46
0
omanhsj
#myvida tripleA :
unapatikanwa wapi
2025-02-05 13:49:41
0
mimi4rever1
zaytudah :
Nataka
2025-02-11 04:39:01
0
neemaexaud929
upendo kristoph :
dada naomba kuonana na wew nipo kigambon
2025-02-12 10:41:02
0
samiasadick19
user4530426520607 :
nimekukubali
2025-02-12 13:18:22
0
introvertmshua
introvertmshua :
Uko wapi
2025-02-14 03:05:55
0
mk.media2
Mk Media :
Naomba namba yako!!
2025-02-28 08:00:05
0
maliki.paskal
Maliki Paskal :
🥰🥰🥰
2025-03-07 02:07:11
0
user33477071059748
camanda :
50 napata ngapi hizo
2025-03-15 17:59:03
0
user5364942274376
Master :
wewe dada ni genius sana binafsi nmeona fursa ila kama hutojal naomba nfundishe kutumia
2025-04-05 12:53:01
0
user5707276662875
user5707276662875 :
uko wap
2025-01-30 11:55:31
0
dottobaltazalimpe
D Mpepo :
pov za urembo mwingine azipo
2025-01-17 13:51:08
0
5shokolata
SHOKOLATA🔥2027 :
una desine ngap?
2025-01-26 23:51:17
0
toriento
ISAIAH TORIENTO :
Nahitaj
2025-01-23 05:11:29
0
kwekajoy
Mamdido :
Zinakuwa ngapi??
2025-01-20 13:47:15
0
aninacollection
Anina Mbwambo :
nahitaji ya Elfu 20
2025-01-20 12:59:35
0
veluxurytreats
Ve Luxury Treats :
Nitakuja dukani
2025-01-20 12:53:18
0
seamosszanzibar
Sea moss zanzibar :
Then hyo unauza Kwan moja 20000 if ni hyo basi nahitaj moja
2025-01-20 12:52:37
0
seamosszanzibar
Sea moss zanzibar :
Muna model za sabuni?
2025-01-20 12:51:59
0
issaally533
issa ally533 :
nimeipenda
2025-01-17 16:16:16
0
To see more videos from user @mkekawambao1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About