kwahy mama na baba wafe njaa .kisa kuweka mtaji .sema hapo umezingua
2025-03-05 06:29:42
3
shauri :
Umeongea Point Sana Brother..Big Up 👊👊
2025-01-17 17:03:17
18
YOUNG BUSH :
da salute bro umetisha iyo
2025-01-17 18:57:35
2
user3401587361454 :
kumbe usomi nao ni uchizi, na mzazi angekutupa ili asiwe maskini ungefika hapo
2025-01-17 16:37:05
19
3Iris :
Unasema Ukweli Kabisa Wenye Maono Tunakubali Point hio
2025-03-02 21:27:49
2
Abdallah Sharifu :
Nononoooo, hapo kwa wazazi acha nifilisike, bila ya wazazi hata hizo baraka hazitakuja, sema tusaidie kwa kiwango flani sio tuache kusaidiwa wazazi wetu,
2025-02-27 22:00:13
2
POP SMOKE :
kwahyo ulitaka tusaidie watejee mzazi atakula hela yangu hd kufa kwangu biashara sio maneno wala sio kutoa pesa biashara ni mzunguko na uhitaji wa bidhaa ktk eneo acha kupotosha watu saidieni watu
2025-01-17 21:05:01
11
plascon :
oyaaa umeongea pointi✊✊✊🔥🔥
2025-01-17 13:56:39
6
pazzy 47 :
umeongea fact ila bila wazazi mm co kitu
2025-02-09 17:15:26
2
Ima dhe boy :
i'm so good sana bro nimekuelewa kitu ambacho umejaribu kutuamsha vijana 👏👏👏
2025-01-17 18:10:25
8
Jimmy classic🇹🇿 :
Uyu kaanza kutupoteza sasa🥺
2025-03-04 14:10:42
2
cypilianjunior :
mzaz acha nimpe. ata mtaji wote ww viip
2025-01-17 16:43:44
9
Pizzo Collection :
Cheki na pua yako kama mto Rufiji😎😎
2025-01-17 15:54:12
8
VADDY MUSIC 🎶🎶 :
ulicho ongea nisahii ila wajinga watapingatuuu wache wafe masikini
2025-01-17 19:09:29
7
gloire kambale :
vizuri sana.
2025-01-17 18:30:50
3
Jay Mesaly :
kama umemuelewa uyu jamaa ,gonga like apa👍👍
2025-01-18 12:31:33
5
Chepter Jr :
UNAONA UMEONGEA POINT NA MIWANI YAKO YA MCHONGO 😁😁😁
2025-01-18 10:18:19
3
GoldenEagle🦅 :
kumbe ww kuma yaaaan mzazi ndo kila kitu
2025-01-17 14:06:30
10
barikimwakyusa836 :
hunaa akili ko wazaz asaidie jiran toka zako na hiyo miwani au wewe huna wazaz
2025-01-19 23:30:47
2
Arrgley ❤️🩹 :
GUYS ANAMAANISHA KWA WALE VIJANA AMBAO WANAJITAFUTIA MDOGO MDOGO SASA NDO HII POINTS INAVOONGELEWA 🔥
2025-01-17 19:54:35
2
NASERIAN :
unasema ukweli ila ndugu yangu mm mzazi wangu acha tuu nimsaidie maana ndio Mungu wangu wa pili nae angetumia akili asingenilipia hata ada angejijenga yeye
2025-01-19 15:21:28
2
Abdi Abr :
sawa ngoja tufe kwa kusaidia wazazi😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-03-10 15:05:14
1
lonewolf :
bro mimi na kuelewa sana Sema kibongo bongo ni wachache sana watakao kuelewa
2025-01-17 13:52:41
3
Chidy Katoto :
ni kweli bro Nakubal 👍
2025-01-17 20:37:52
2
To see more videos from user @dimaga25, please go to the Tikwm
homepage.