@lenzi.michaelkamukulu: Siri ya maisha bora yenye mafanikio iko kwenye mipaka unayojiwekea kwenye maisha yako ya kila siku kwenye jamii. Weka uko na ukomo kwenye afya, muda, mahusiano na watu, fikra na mitazamo pamona na masuala ya imani. #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #michaelkamukulu #swahilitiktok #lenzimindset

LENZI | Michael Kamukulu
LENZI | Michael Kamukulu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 January 2025 15:23:36 GMT
239837
12677
274
1860

Music

Download

Comments

princebeya.2010
Prince Beya @2010 :
mungu Aendelee kukupa Afya njema uendelee kutufunza
2025-03-25 13:55:51
13
unstopbble.boss.lady1111
positive vibes🍇 1111✌️ :
🙏God bless you
2025-01-17 17:02:18
6
aunt_._happy
zuu :
shukran
2025-08-03 00:12:01
1
user48737252414933
Simon mwashitete :
huna baya mastar umeeleweka
2025-03-07 09:48:11
1
user2629202594148
First Born :
Mungu akutunze, unaongea fact , tukzngatia tutachange personalities zetu
2025-03-12 07:04:37
3
enock.nzabonimba
Enock nzabon :
Asante babangu kwaushauri🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏾🙏🙏🏽🙏🏼
2025-03-13 18:48:08
1
saada.manirakiza
Saada Manirakiza :
wana ambiwa lakini awasikiyi
2025-07-12 21:05:55
2
user17995385
the Don :
nakukubali sana brow 🤛
2025-04-02 19:10:26
2
pastawiliam
Papa Watanabe Simba 🦁 :
vraiment 😄😄😃
2025-12-15 08:04:44
1
haniphaabou
haniphaabou :
Hakika kaka 💯 mungu akulinde na akubariki sana
2025-06-01 16:58:16
3
paulbreezykagame
Paulbreezy :
Amen
2025-01-20 17:27:24
2
atupelemkolo1
Atupele mkolo :
ngoja nifike dukani nisikilize vzur
2025-02-12 07:44:02
2
agnes01854
Agnes :
kweli asante sana 🥰🥰🥰
2025-04-17 08:07:12
2
itstuzo20
$TUZO 402@🇹🇿🌻$🖤😇 :
kabisa yani 😍
2025-03-25 04:14:15
2
user14072612219563
Athuman :
mungu ukupe maisha malefu 🙏🙏🙏🙏
2025-02-16 15:42:07
2
chandesaidikajumba
Chande Saidi Kajumba :
Uko sahihi sana bro
2025-02-27 08:58:47
2
ndoinyoobedi
obedi ndoinyo :
nakubali sana brother
2025-01-30 12:58:05
2
lucianguma
nguma :
Amina
2025-02-04 06:19:04
2
healthstoriesai.2030
Health stories Ai(prosperity) :
ubarikiwe bro
2025-04-14 05:36:30
1
boytz61
[email protected] :
@broo the best nakufatilia Sana usiache kutujenga
2025-03-23 20:13:03
1
florakyabara
FLORA KYABARA :
asante kaka angu
2025-03-21 13:28:05
1
jiniancebusiness
jiniancebusiness :
nakuelewa asante
2025-01-19 10:54:53
2
chuchu.mkuzi
Chuchu Mkuzi :
Thank you
2025-03-30 09:46:20
1
user213660627116
khadija hamisi :
safi Sana
2025-04-02 03:33:14
1
user4828466768054
doreen :
Mungu Azidi Kukubariki Michael Unajua Kutuelimisha sana Nlikuskiza Nkafata Naona Mambo Yangu Yananyooka
2025-02-12 13:22:10
1
To see more videos from user @lenzi.michaelkamukulu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About