@darasa.la.mwananchi: #tanzania #habari #police

ĒRĪÇKSŌÑ🦅
ĒRĪÇKSŌÑ🦅
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 January 2025 06:12:36 GMT
367982
15688
276
1112

Music

Download

Comments

jikubalibramu
KAKA JIKUBALI🇹🇿 :
baba alikuwa mtu
2025-01-18 10:23:20
258
user2993510260071
user2993510260071 :
mzee hapa ulichemka sasa Hadi Leo askari wanatunyanyasa sababu ya rushwa
2025-01-18 12:28:06
10
mauzo_master
Mauzomaster :
Usikute hii Dunia watu hatujaanza kuishi, ni vile tu Mungu anamsimulia Adamu hali itakavyokuwa kama akila Tunda!
2025-01-18 10:16:50
74
bobu.kimaro
Bobu Kimaro :
Yaan aliye rekod ile video mamae zake yaan leo nimekula faini mbili askar htak kudondoshewa kbsa n mwendo wa mikeka tuu mamae
2025-01-18 16:26:43
106
mwetae7
E white :
Kiongozi bora na mtetezi wa wanyonge aliewahi kutokea nchini Tanzania
2025-01-19 19:54:49
29
user24654661816514
amon :
wanaenda kukamata trafik wa ety kisa kapokea lushwa ya ten
2025-01-18 20:57:54
28
deusdedith_masebo
Mr Parokia_Official :
ko ndugu mtuma crip unataka kusemaje😂😂😂
2025-01-18 10:09:44
13
gidson.mgisha
Gidson mgisha :
Alikuwa mtu saf tu sema ndo ivo tunamsingizia mungu tu
2025-01-18 17:30:55
8
kingujr
Kingujr :
dingi alikuwa sawa sana
2025-01-18 17:48:52
6
iamfredrickzacharia
MVUVI WA WATU. :
"LEO NI KESHO KUTWA ILIYOSEMWA JUZI"🤔
2025-01-18 11:29:37
8
noeljosseph
noel joseph :
jpm aliona mbali sana
2025-01-19 05:15:26
7
heltahskeltah972
heltah skeltah :
yule jamaa aliechukua video kazingua sana Yan mtu anakula 5000 unataka afukuzwe Kazi watu wanakula rushwa tunakosa madawa tunakosa maji hospital wazaz wanakufa hakuna wa kuwafukuza kaz
2025-01-19 13:57:21
7
specialhire
Special hire 🚍 :
mzee alikua msema kweli
2025-01-18 20:28:37
5
shaddy_twin
shaddy_twin :
kweli kabisaaaaaaaa faza umeongea point
2025-01-18 16:16:03
12
princealz
Dylanic :
Wamewaonea wale Askari
2025-01-18 11:16:46
5
christianprince6690
Christian prince :
jamaa alikuwa pure mno.hakuna unafiki unafiki.
2025-01-18 11:43:15
9
wake_up_as_tanzanian
NAIBU WAZIRI WA YESU :
BABA ALITAKA ADILI NA WABEBA BILIONS OF MONEY 😁😁😁😁😁
2025-01-18 12:40:05
7
kingalu.adam
Kingalu Adam :
Kama wewe ni Mtanzania alafu unamuongolea magufuri ni kwamba Utakuwa haujelewi vizuri. Huyu mzee alikuwa anapambania vita kubwa Achana na hizi ndogo ndogo , rushwa ya elfu 5 na bilioni 300 za escro ??
2025-01-18 17:44:13
5
ramamahanyu
mahanyu ramadan :
wajinga nawaliokuwa wanafaidika ndio walio kuwa wanamwelewa kama kweli alikuwa mzalendo angebadilisha mfumo mzima wa uongozi nasio kauli yamtu mmoja kam alivyokuwa anafanya
2025-01-18 19:13:39
2
simbakitara4
simbakitara :
R.l.P tutakukumbuka daima
2025-01-23 00:49:29
2
i.s.m.a.h.360
🇮 🇽 🇲 🇦 🇭 💪 :
hapa aliongea ukwel xana
2025-03-08 05:13:58
1
user6768613045670
@🙏Uncle Jesh✳️ :
Ametangulia kwan siukweli kama wapo wanaokula mabilioni sembuse bukubuku za askari
2025-01-20 08:30:41
3
peternakida1
Peter Saqware :
ni kweli tuhangaika na dagaa tumewasahau samaki
2025-01-20 08:15:52
4
foremangnail3
Dragon Boe :
uyo alorelekodi ile video nikimfaahamu namgonga ata na gar
2025-01-18 20:26:45
3
mossy375
@mosse82ss :
Bado hujasema mpaka utasema mamaee wanaanza kukagua mpaka sendor mmhh😋
2025-01-18 20:47:53
3
To see more videos from user @darasa.la.mwananchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About