@robert_babuu: #kenyantiktok🇰🇪 #southafrica #zulicomedy4 #tanzaniatiktok

Mr Robert babuu
Mr Robert babuu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 January 2025 16:06:08 GMT
825470
35843
812
1831

Music

Download

Comments

mtambuzi
Mtambuzi :
We ongea sana halafu udondoshe hivyo visinia....Utapigwaaaa..🤣
2025-01-18 17:02:37
224
michaelchristoph851
Jewish Tz🇹🇿🇮🇱 :
peleka nyama unazitemea mate au kavae barakoa mshamba wewe
2025-01-20 12:39:48
21
al.hajj.awadh
al hajj awadh :
badilisha boshori ama nikutumie kofia yangu
2025-01-19 11:18:02
3
hamisindusu
ENGINEER HAMISI :
tsi moja hiyo
2025-10-20 22:18:22
1
unigue04
madochee efex :
umetisha mambo yakumwagilia moyo tu
2025-01-19 15:37:03
2
rajabu.msoke
rajab :
ndio maana silagi hitelini
2025-01-18 18:32:41
15
mtares_limited
Devil worshiper😈 :
hahaha na kwelii imeshatunyoosha blalifuuu😁😁😁 ni mwendo wa kabichii tu meku😅😅
2025-01-18 20:04:05
6
winwakenan
Win wa kenan :
unatemea mate nyama bhana😋
2025-01-18 19:56:30
21
linemayo0
Mom_BeneBea🦋😍 :
unatemea nyama mate mbwa wewe😅😅😅😅
2025-01-19 15:24:57
5
irenetemba859
Irene Temba859 :
tumeona umetanguliza ndizi chin 😀
2025-01-18 19:35:49
32
haji4606
rogat pound$0 :
kwel umetunyoosha kaka🤣🤣🤣🤣
2025-01-19 14:57:28
2
manyota158
manyota Decoration :
we mwenyewe ume pgiwa SM
2025-01-21 06:19:38
2
hamisiddy682
hamis iddy :
moshono moja hiyo
2025-01-18 17:31:27
11
upendosanga85
upendosanga85 :
si utuambie ulipo kizuri kula na jirani yako
2025-01-18 16:22:13
5
halfman39
Shabani Mrisho :
Samahani broo unatemea mboga hizo😁
2025-04-08 17:05:33
1
user46939752246124
rose :
Samahan npigie nlikua mbali na simu
2025-03-02 13:59:06
1
johary200
johababy💋 :
mm nilikupigiaaa mara 31 kaka😥😥😥
2025-04-12 15:47:02
1
__lovesiyah
siyalove🇹🇿🇮🇳 :
jan inanyoosha siopoa😩😁😁
2025-01-20 10:09:30
5
ramoyu.kim
ramoyu kim :
tumefunga kaka
2025-02-17 14:17:11
2
rukhofficial
ruqaiyah224💞 :
ungedondosha hiyo kitu Ts nzima wangekushambulia
2025-01-19 18:01:46
4
vickysimbo
Vicky Simbo :
nambie niwap upo
2025-01-24 19:07:43
1
husseinkaoneka
JinalaUkoo :
kwa moromboo hapa 😁😁
2025-01-19 15:28:06
1
notony77
Andrew No Tony🔥🔥 :
Umeshika vyakula alafu una flow sana mpaka kifike mahala husika hicho chakula si watakula na mate ✅✅
2025-02-11 09:18:06
1
pelina_dyaga
PELINA DYAGA :
MBONA MIMI HUWA SIFIKISHWAGI KILELENI 🥺💔
2025-02-23 08:29:31
2
To see more videos from user @robert_babuu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About