mimi niliswali iyo sunat aja nikaomba mume wangu arudi na mashAllah alirudi
2025-01-21 18:44:23
9
Zakia Ali :
hapo kweny nia ya hajja nd sjafaham mmoj anifafanulie kidg🙏kwamb nahitaji kitu kwahiy ninuwie kuswali kwa ajil hiyo!??
2025-01-21 17:56:42
1
Yusuf kassim :
naomba Mtu airudie hii Dua InshaaAllah sijaipata vyema
2025-01-21 07:26:27
3
Omar Islam🇹🇿☪️ :
vipi nikikesha sijalala mpka saa 10 usiku nikisimama nitakuwa sawa na yule alielala kisha akaamk akaswal
2025-01-21 13:52:07
2
isimail :
naomba mtu aniandikie hiyo dua
2025-01-22 19:11:43
1
kababayee11 :
Mtufundishe na tafsiri , tutamke kwa nia
2025-01-21 03:25:38
2
user4840257808204 :
Salatul haja ama Tahajud?
2025-01-21 05:27:39
4
Hugestore@hotos22 :
ni vipi nikiamkahiyo saa kumi nikaswali ma baadae nikapitiwa na usingiz mpaka asubuh na jua limeshapambazuka vipi hiyo swala ya asubuh ambayo ni lazima kuiswali na imetokea sijaiswali inakuaje
2025-01-25 12:33:59
1
maysultani :
tafsiri yake please
2025-01-21 05:45:31
3
Amina mkumbila :
kama hujui kusoma suratul kafy
2025-01-24 17:00:25
0
Zuber Ali Sorow :
tafsiri. yake brother
2025-01-21 18:33:20
0
user8584283638422 :
inshaallah
2025-01-21 05:15:05
0
saumu msangi :
Ishaallah
2025-01-21 04:35:36
0
chii01 :
subhanallah
2025-01-21 06:36:31
3
Tiffany collection 👗👜💼👠 :
Amiiin 🤲
2025-01-27 15:33:41
1
To see more videos from user @al.mashkurah.one, please go to the Tikwm
homepage.