mimi namengi aliniacha kipingi kigumu yule kaka nampenda mpaka kesho ila nikikumbuka manen yake nakosa ngum yakuwa nae nampenda tyu kama kaka angu 😭😭😭😭
2025-01-21 07:32:56
34
jessy🥰🦋😍 :
Mbona me amerudi nikamkubalia jaman😌
2025-01-21 06:49:41
24
𝕊𝕙𝕖’𝕤 __𝕄𝕒𝕝𝕒𝕚𝕜𝕒𝕙❤️ :
EX HARUDIW😂✋🏻Sheriaa✊🏾ata ukuw unampendaj Ex harudiw komeni😂😂
2025-01-21 06:46:57
105
magie💞💞 :
mi wakwangu alijirudisha namaneno mazuri nikamuuliza ushawahi kuona mavi yanarudi kwamatako?🤣hakunisumbua tena🤣🤣🤣😎😎😎😎
2025-02-15 09:17:23
10
Ancy :
sawa mkuu karibu nirudi Kwa my first boyfriend after ten years 😫😫 shidwe pepo nyeusi 🤣🤣
2025-01-21 14:50:11
14
PRECIOUS 🎀💔 :
hii naweka status Kuna mbwa ananichokonoa. 😂😂🙌
2025-01-21 08:24:57
7
Rara🇹🇿| Decor, Lights & More :
Utakuja kuvunja screen yangu samir😭😭😂😂😂
2025-01-21 08:07:36
1
happe paul@ :
siwez kukuacha umove on kizembe ivo labd mm sio mngoni😀narud na unajaa😂😂
2026-02-18 06:06:11
1
Dee Modo Cosmetics🥷🏽 :
Naomba huu ujumbe umfikie uyu kunguru alijua me ndo wale madem wa ninogeshe nianze kulia oyaaa haamin sasa ye misim ka chiz anikome 😂
2025-01-22 11:32:31
2
Bridget Lafiki :
yaani Mimi ndo nimemrudia ex wangu,maana ni Bora kuliko mavi mengine,msitidanganye
2025-01-21 19:25:19
0
Ramuziy kalu :
😂😂😂😂😂😅😂hapo sasa
2025-03-15 03:50:58
1
reypanga92 :
mm nilishaapa siwezi mrudia x hata niwe na shida aina ipi uuuuwi hakunaga kumrudia x
2025-02-16 06:55:53
2
dullysmile :
tusipangiane akirula kula alaaaa
2025-01-23 18:42:35
1
visionGirl :
nilijaribu kusema maisha hayana formula nikamrudia ,uwiii nimelia kuliko zimamoto🤣🤣🤣🤣EX HARUDIWI ,imeisha
2025-03-05 07:53:08
2
fatimamadini🧿 :
Hii video clip namtumia baby dadi wangu mana anahaha kama paka la bar za kinondoni😂😂😂💔
2025-01-23 19:38:10
4
madamboss❤️❤️ :
Hilo limkofi karibu nitupe simu 😂😂😂😂😂🙌🏻
2025-01-21 12:49:15
2
Laura 💕 :
Eti?😂😂😂
2025-01-23 21:10:30
1
brina :
kunywa kinywaj nalipa😂😂😂
2025-02-05 13:11:03
1
user98455135699088 :
Mi Simrudiii Ex💔
2025-02-01 19:47:06
1
official_jassruu :
kasema nimzalie anilipe ex
2025-02-11 19:14:45
1
E ,,,,,❤️ :
muacheeee
2025-02-14 19:56:33
2
Mary Tomito :
duuu inategemea kama mlitengana bila kugombana siyo mbaya akirudi
2025-01-21 10:18:37
2
@sheislibra♎️ :
Volume please🔊
2025-05-27 08:16:39
1
Imani :
😂😂😂👍👍fact kamata 💐💐
2025-02-14 07:18:18
1
loita :
tuliachana sai miaka 13 🥺,akao akadirvoce ,nikaolewa nikadirvoce sai wote tuko na vipesa na tumerudiana 😂😂ako na mtoto niko na mtoto 😂tuache wewe mwewe😂😂
2025-02-16 13:46:10
2
To see more videos from user @msukumammoja4, please go to the Tikwm
homepage.