@afyaboranmaisha: Madhara ya Acid Reflux kwa Afya ☆ Acid Reflux (kurudia kwa asidi kutoka tumboni kwenda kwenye umio) inaweza kusababisha madhara makubwa ikiwa haitadhibitiwa kwa wakati. ♧ Hizi ni baadhi ya athari zake ni: ✅ Vidonda vya umio – Asidi inayopanda mara kwa mara inaweza kuharibu kuta za umio na kusababisha vidonda vinavyoweza kusababisha maumivu na matatizo ya kumeza. ✅ Barrett’s Esophagus – Mabadiliko ya seli za umio yanayoweza kuongeza hatari ya saratani ya umio. ✅ Matatizo ya kupumua – Asidi inayopanda inaweza kuingia kwenye njia za hewa na kusababisha kikohozi cha muda mrefu pumu au nimonia. ✅ Uharibifu wa meno – Asidi huweza kuharibu enamel ya meno kusababisha kuoza kwa meno na hisia kali kwa vyakula vya moto au baridi. ✅ Kupungua uzito na utapiamlo – Maumivu na matatizo ya kumeza yanaweza kuathiri hamu ya kula na kusababisha kupungua uzito kupita kiasi. ⚠ Usipuuzie dalili! Acid Reflux inaweza kudhibitiwa kwa mabadiliko ya mtindo wa maisha na matibabu sahihi. 📍Unasumbuliwa na Acid Reflux? Pata suluhisho ndani ya siku 30-60! 📞 Wasiliana nami kwa ushauri wa kitaalamu kuhusu njia bora za kutibu Acid Reflux. R.J.Health Counselling&Medical Consultant +255 748 951 191 #AcidReflux #AfyaYaTumbo #AfyaMwilini