@freetaxguidetz: Part 2 | JINSI YA KUPATA LESENI YA BIASHARA✍🏻 🔘Tunatoa Uahauri mbalimbali kuhusu Uanzishwaji wa Biashara. 🔘Usajiri wa Jina la Biashara, Biashara ya Ubia (Partineship), Kampuni na Tust (Mfuko wa Uaminifu) 🔘Ushauri kuhusu Kodi mbalimbali na Forodha. 🔘Ushauri kuhusu Uagizaji wa Bidhaa nje ya Nchi. 🔘Kupata Leseni mbalimbali za Bishara 🔘Ushauri kuhusu Kulipa Tozo mbalimbali za Halimashauri na Manispaa . . . . . 📌 Swali Lolote au Ushauri, Tupigie📞 ☎️0783-727-272 📍Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 ©️HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA . . . . #wajasiriamali #tanzaniatiktok #daressalaam🇹🇿 #business #kenyancomedy #kenyancomedy #businessproposal #tra #zanzibartiktok
freetaxguidetz
Region: TZ
Tuesday 21 January 2025 15:51:54 GMT
Music
Download
Comments
kidogochetu5 :
mimi nataka tin transfer
2025-01-23 11:44:30
0
andrea/stephano🇹🇿 :
Lakn ukienda TRA hawawez kup tin no bil kutoa pesa
2025-02-01 12:46:07
1
tumasitta :
kaka nisaidie namba yako unipe ufafanuzi kuna jambo linanipa shida sana
2025-02-01 07:19:05
1
0714mahesabu makali :
mi mboni nimelipishwa tin number na tra
2025-01-22 17:19:39
0
samwel sauka :
je nawezakuangalia madeni kupitia mtandao
2025-01-31 13:23:21
1
ngemba :
hatuto kata mpaka mpunguze mizunguko au muje2 mtukamat
2025-01-23 18:21:05
1
linus ladislaus :
ili umiliki mashine ya efd unapaswa kuwa na mtaji wa sh ngapi??
2025-01-22 21:40:14
1
Iam _Roja :
boss naomba kuuliza namna ya kubadilisha namba TIN NO?
2025-01-21 20:15:49
0
HEKE :
TIN ya kawaida nikitaka kuitumia kwenye biashara , mfano biashara ya uwakala kutakuwa na tatizo lolote
2025-01-23 20:57:48
1
ngassankuga :
nauliza Ivi laki Tano inatakiwa ikatwe shi ngapi Kodi mana Kuna shida huku naomba msaada wako mkuu
2025-01-22 05:56:45
1
Justin270 :
yangu nilipoteza nafanyaje
2025-01-22 18:49:20
0
agent :
MTU AMBAE TIN NUMBER YAKE HAIONESHI NA INADAI PENDING PLEASE VISIT TRA UNAWEZA SAIDIA KUPATA?
2025-01-21 19:52:12
1
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm
homepage.