@scopemedia_tz: Utani wa Ally Kamwe na Ahmed Ally walipokutana lek kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds TV wakitaniana kuhusu michuano ya CAF na medali. Cc: Clouds Media #scopeboii #ScopeMedia #azizki #simbasc #simba #yangasc #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #dubeyanga #sports

Scope Media
Scope Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 January 2025 06:55:14 GMT
246872
10057
324
316

Music

Download

Comments

lizzo12121212
Lizzofnty :
Team Kamwe 💪Gather here
2025-01-22 10:12:14
224
adulrahman.issa.j
Adulrahman Issa juma :
hahahahaha!!!umemuweza ahmed ally a.k.a kasongo😁
2025-01-22 22:16:07
1
hanceeliabu98
HANCE ELIABU🏅 :
Ahmed hana fact😂
2025-01-22 10:26:29
1
rahabu42
💝❤️‍🔥alnat🥰 :
💚💚💚💚💚kamweeeee
2025-01-23 11:00:27
1
ley_mshn1
ley_mshn :
😂😂93
2025-01-23 11:16:47
0
salehe_simba
Salehe Simba :
ali anamuita Ahmed Kasongo bila ya kujua ilo neno ni manake ni Mume😂😂
2025-01-22 08:57:13
35
user2110125516766
Cleophace philipo :
Medali bila ubingwa ni sawa na hilizitu
2025-01-22 08:43:02
12
user3301187312747
Emiliana Zonzoli :
Aliy kamwe bila ww hatuna raha hakuna😂😂😂
2025-01-22 10:56:44
36
jennifergodfrey52
user4488023744185 :
tusha mpata kasongo 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-22 08:28:52
11
norah.maico
norah maico :
kupata medali ni usubutu wa ushindi Ali kamwe amesubutu
2025-01-22 09:59:44
20
aishaadili44
Ayshaa@💓💞 :
kuanzia leo kasongo wa pilin muachen apumzik man tushampat kasongo wa msimbazii🤣🤣🤣🤣
2025-01-22 08:53:09
8
allylingole
Allylingole :
wanao teseka ni akina KASONGO,😂😂😂😂
2025-01-22 17:26:25
8
imanimpandula
Imani Mpandula :
mbona wewo kasongo
2025-01-22 09:03:41
11
user8152843631849
mwanaisha :
kasongo ni mume sasa unakili wewe ni mke?
2025-01-22 09:49:29
7
its_eddie15
its_eddie15 :
uyu jamaa akili zake kwamba simba haipo CAF kwmba shurikisho sio CAF alafu CAF wakiita wasemaji wenye medal za CAF yumo mbona akili zake hazipogo😂😂
2025-01-22 08:09:05
3
user9671327610981
wakili msomi :
ata mm kumuita ilo jina la kisongo nimepend
2025-01-22 10:43:22
3
gerd20002
glad :
utani wa ngumi huu😂
2025-01-22 21:16:46
0
boniphace.sony
Boniphace Sony :
Safi sana lakini haijawahi kua hivo kuitwa walio vaa medal mbona kamekua kashamba saana haka
2025-01-22 14:56:56
0
steve20989
STEVE⚽⭐ :
kusema ukweli hawa nawapenda sana wakikutana ila ahmed ally kazidiwa😂😂
2025-01-22 19:42:41
3
roostertz01
Rooster Tz :
yeye alipata medal ya CAF kwa mashindano gani kama sio shirikisho
2025-01-22 10:53:21
1
user9181961654496
japhaboy :
mumbarinanga🤣🤣
2025-01-22 09:22:48
1
justerpastory
justerpastory💞💞💞💘 :
ndo maana mlifeli kwa sababu ya kamdomo
2025-01-22 09:06:46
1
titusbusanya
titus busanya :
Medeli ya mshindano gani ayo
2025-01-22 13:45:59
0
emmanueljacobo
Emmanuel Jacobo :
nyie wachawi mnajuana vizuri😂😂😂😂
2025-01-22 11:20:13
3
user4279138677351
user4279138677351 :
Kumbe ndo kasongo mwana weo, bwana kasongo jibu swali
2025-01-22 11:19:12
3
To see more videos from user @scopemedia_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About