shekh mselem amekua tofauti na mashekh wengine kwasababu ya kufundisha , upendo ,umoja ,mshikamano , nk kwenye miaka yote sijamsikia akibeza watu wengine Allah ampe kila lakheri
2025-01-22 11:29:10
41
EL AbdouL :
Allah ndio.mpangaji ila, naamini kwa mda ulokuwepo jela , tumekosa vingi sheikh 🥺😢 ila, twamuomba Allah akupe umri mrefu . amin thumma amin 🥺
2025-01-23 07:33:10
28
user6081996384265 amina Omar :
kumbee tals zipo tokea enz za selmani
2025-01-22 08:02:47
26
chumdaga :
jamaa ukimsikiliza anakupa faraja sana
2025-01-23 12:09:00
19
user8513544738203 :
mm sjaon shekh kama mselemu na othman kw sasa lkn
2025-01-22 14:15:53
18
@Kanali254 :
swadakta,utaskia mashekhe wengine mtu anaanza kwa kusema,biashara haitakusaidia chochote..jamani hatuishi tu kwa ajili ya kufa,kuna maisha kabla ya kifo
2025-01-22 11:55:24
13
Muna Bhai :
mola Akupe Umri Na Afya Allah hakuAcha Kitu Ktk Qurani ktk Maisha Yetu Pamoja nahadithi xa Mtume Wetu Muhammad Rasull lahh
2025-01-22 20:45:40
9
Omar Jeylani :
HUYU SHEIKH NAMPENDA KWA AJILI YA ALLAH.
2025-01-22 19:44:23
6
angelinejulius :
alhamdhulillah shukran
2025-01-22 10:10:02
5
SHANNAR SAID :
Swadaktah kabisa
2025-01-22 10:13:13
5
Karim Swedi :
allah akbar
2025-01-22 11:43:14
4
shazz b :
kulikuwa na tiles wakati huo
2025-01-22 14:42:42
4
majid swaleh :
Mashaallah, jazzakallah kherr
2025-01-22 15:25:15
4
01o ? :
hapa sasa mnaongea 💯% kwa waumini na haya ndiyo mawaiza yanayo takiwa katika dini. siyo kukatizana namaa ya kuwepo hapa duniani 🙏. tujenge duniani na ahera. 😊
2025-01-22 18:22:25
4
Kalikawe Itembwe :
Alhamdullilah 🙌
2025-01-22 13:07:31
4
maniga swati :
masha Allah Allah atupe neema zake tuzitumie kisheria
2025-01-22 11:45:06
4
chii01 :
subhanallah
2025-01-22 10:29:14
4
zakiya :
MashaaAllah
2025-01-22 08:52:26
4
H.Y MMASA :
@
2025-01-22 07:22:30
4
TARQ :
my favourite shekhe
2025-01-23 06:36:14
3
Wahid Hamoud :
@Wi&Wi&WF2010
2025-02-12 19:43:35
3
mkilindi :
namkubali sana shekhe wangu
2025-01-22 14:25:06
3
Ⓜ️ Mr cash💰 :
Yandomaneno shekh
2025-01-22 08:08:24
3
nuruhassan601 :
ameen inshaallwah
2025-01-22 13:54:20
3
GOAT.FURNITURES :
Naaaam
2025-01-22 10:42:26
3
ßmårt khëêd ømmy :
😇😇😇
2025-01-23 01:09:21
2
The_gentlaman290 :
🥰🥰🥰
2025-01-22 12:18:58
2
Shabani Said931 :
Asante shekhe maana nilikuwa nasubiria akhera maisha mazuri