NAJUA HAIWAHUSU ILA MI MDOGO WANGU AMEFELI FORM 4 HAPA TUNAMSUBIRI ALALE TUHAME KIMYA KIMYA TUMKIMBIE 😂🤣
2025-01-23 18:31:42
284
Fatmaa ❤️ :
Tuseme ni katili au roho mbaya au ni utoto ata sielewi aliwaza nini
2025-01-23 00:17:49
179
Nova 🐬 👑🥰 :
utoto jmn yawezekn alijuwa ni michezo au nguvu za giza
2025-01-23 05:16:46
72
LISSIE_HOME_STORE :
wazazi msibague watoto yaani ukipata mtoto wa pili yule wa kwanza usimuoneshe kama Hana thamani tena usihamishe upendo wako kwake watoto wanajua na wanaumia huyu ni katili lakini alimchukia mdogo wake
Huyu sio mtoto ni zinduna Sasa itakuwaje ataishia jela na umri huo?
2025-01-23 05:27:38
5
Princito Tzee Delavider 😘 :
Huyo dogo ndio wa kutoa kafara sasa familia ipate utajiri 😂
2025-01-23 15:35:34
48
Wolf_hunter :
nyota njema utaiona inangara, huyu mtt kijini
2025-01-23 03:19:10
9
masto :
sasa apo wakulaumiwa ni wazazi na sio mtoto mm ndio maoni yangu
2025-01-23 16:26:27
5
Mahame :
Duuh....ni vizur kuwafundisha watoto huruma kuanzia wadogo
2025-01-23 05:36:31
4
mar mahreen :
lkn mtt kufungwa na watu Wazima siyo kwel maana akitoka hapo wameshamuharibu uwiii
2025-01-27 14:11:16
1
Davinci :
Hii stori ya uongo bana🤔🤔 walifungwa wazazi kwa kushindwa kuwa responsible kwa watoto ila tiktok inazidi uongo aisee
2025-01-24 15:27:38
3
Raiyan :
na sie wazee muda mwengine huwa ni wazembe itakuaje umuachilie mtoto mdogo chini ya mtoto mwenziwe halafu uondoke akili ya kitoto haina dhamana
2025-01-23 05:30:14
25
Umrah🌹 :
kwanz unamuacheje mtoto na mtoto nyumbani peke yao??
2025-03-22 10:56:40
1
𝔪𝔦𝔫𝔞𝔥💕🌹🌹 :
daah tukisema ni utoto mim nakataa😅kwan huwa haoni kinachoingizwa kweny ovena kinatokaje😅kajamaa kakatili tu haka labd kaliona hawakapendi km mwanzo
2025-01-24 21:59:33
3
Sulekha nuur :
Yan ww kama mzazi huwezi waacha watoto pekeyao jaman watoto tuwaangalie zaid
2025-02-22 06:41:11
1
@__ Luc. de last born 🥰🦋 :
Asant hta nimchek mweee🤣🤣
2025-01-25 18:22:52
2
shamsa :
dh
2025-01-23 04:20:07
3
miggo blackpanther :
uyu msenge katiri
2025-01-22 20:34:24
10
Salma Pandu :
si niliskia walifungwa wazaz na watoto wanalelewa
2025-01-23 04:23:31
9
Iman :
mwanadamu yoyote mwenye huruma huanzia utotoni,na Yule mwenye roho mbaya na ukatili pia vile Ile huanzia utotoni mwake
2025-01-23 08:13:31
23
decory2016 b :
DU!
2025-02-07 10:05:42
1
Abigail Ratchford :
GOD'S FAVOR WILL PUT YOU IN PLACES THAT HUSTLING CANT
2025-01-26 13:55:09
3
halali yake Khamis seku :
miaka Saba ni mtoto mdogo sana
2025-01-23 09:49:40
1
user6224804886901 :
Sikiliiza tena," baada ya WAZAZI wao kwenda kununua pizza....".Makosa ya wazazi,kwanini wamekwenda wote 2?. Mzazi mmoja angebaki nyumbani kuangalia watoto.
2025-01-23 07:22:37
2
zawadi Thomas ngozi :
huyo ni pepo.siyo mtoto.
2025-01-23 07:30:51
2
To see more videos from user @kelvindaud16, please go to the Tikwm
homepage.