@thegospelmusic_: #🇹🇿#throwback #🇰🇪

The Gospel Music 🌍
The Gospel Music 🌍
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 January 2025 14:46:51 GMT
420772
28262
1051
1621

Music

Download

Comments

king.sk.jr
King Sk Jr. :
hii saut nilikuwa najuwa ya mmama
2025-01-23 16:14:01
632
pinacolada5928
Pinacolada :
Basi shule tulikua na remix yetu “nina baba yangu asieshiba kande “😂😂😂😂
2025-01-23 18:46:30
576
neynasikorey
neynasikorey :
Nakumbuka ni wimbo pendwa wa mashangazi wakienda kutoa zawadi😂😂😂
2025-01-24 06:16:48
54
kayrah_ambity
Kayrah🦋 :
Hii nyimbo lazima ipigwe harusi yangu😂😂😂 ata kama ni mwaka 2089🤣
2025-01-23 20:34:43
181
catherineemeline
Catty classic wear :
Nyimbo ya kuingiza wakwe ukumbini😂😂😂😂
2025-01-23 20:26:21
41
gthemadness
Gustavo :
Hii nyimbo ilikuwa inapigwa kwenye vipaimara pale mc anaposema “ Dj walete mashangazi “😂🤣
2025-01-23 22:09:21
115
irenessau
Reen❤️🦋 :
maajabu haya kumbe muimbaji alikuw mwanaume ndo najua leo😂
2025-01-24 20:05:33
17
kevoo_wilshere
Kevoo Wilshere :
Ilikua ikipigwa sana kwny harusi za watu haswa mda wa zawadi😁😁
2025-01-23 19:46:25
19
skip09652
VL Butchery :
wimbo wa kipindi cha mtihani naMungu alikua aniachi jmn Nina ushuda na huu wimbo sio Siri
2025-01-23 21:03:00
13
manjul.maah
Manjul maah :
Mungu nisemehe me nilikua Nadhani aloimba mwanzo ni mwanamke
2025-01-23 20:53:18
13
loveliness.felici
LOV€..❤️‍🔥🔐♋ :
hii nyimbo ndo ilikuwa muito wa simu ya mama yangu R.I.P my mom💔
2025-01-24 12:28:04
14
sospetermabula949
sospeter💥 :
😅 nakumbuka secondary ..tulikua tunaimba"nina baba yangu asieshiba kande"😂😂😂daaah
2025-01-24 02:46:57
14
last.born9177
last born💞💞 :
radio living water mwanza saa 6 ha po anafungua nyimbo zilizopo alafu na kufunga znaingia zilipendwa mweeeeh
2025-01-24 18:27:41
8
albertponsiano
newtonjz :
kama unaikumbka hii song gonga like
2025-02-28 06:06:13
5
mariamsanga335
mamu sweet cakes :
kweny harusi ukumbini😅😅😂 wanakamati njoen mbele ndo wimbo wao huu
2025-01-24 18:26:47
10
annahmwakansope4
unique mmy :
kumbe kaimba mkaka, duuh😂
2025-01-26 04:55:26
6
consoelsa
consoelsa :
Walipiga live kwenye harusi yangu❤️❤️
2025-01-24 06:14:20
5
chrissymahunja
chrissymahunja :
4m2 kuingia 4m3 nilikua wa mwisho ila nkapita kwa mbindeeeeeeeeeeeeeee
2025-01-23 20:54:06
6
neziakoroti
korotinezia :
leo ndo najua kama aliye imba ni wakiume 🤣
2025-01-24 07:03:17
12
user9275904458418
nelisa therefineary :
mimi nilijuaga ni mdada yesu wangu unasaudi nzur mkaka Mungu akubaliki,,🙏🙏🙏🙏
2025-01-24 06:28:42
9
eduadior_255
August@255 :
😱kumbe ni mwanaume🥺siku zote najuaga ni mwanamke OMG anaimba vizur sanaaa
2025-01-24 16:19:22
8
nakamoto257474747474746
tanax :
nilivyokuwa naiskiliza nilidhani mwanamke ndio kaimbaa
2025-01-23 19:41:21
13
pattykenzo4
♰🅿🅰🆃🆃🆈 :
kumbh alie imba n mwanaume 😎
2025-01-24 12:12:09
10
agapekikoti
Agape Kikoti :
inanikumbusha Easter conference 2015 iringa tosa maganga
2025-01-24 08:03:56
5
bigjonto96
Movie World :
kweny vipaimara vya morevian na Ruselani mwezi wa 11 mbeya uko mda wa zawadi na msosii😁😅
2025-01-25 06:16:44
13
To see more videos from user @thegospelmusic_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About