😭😭😭😭😭Ee bwana yesu nipe utajir nisaidie watu wako...🙏🙏🙏😭😭😭
2026-06-15 01:19:23
28
MAKUNDI❣ :
Mungu amlaze mahala pema jamn tulimtambua kupitia hii vedeo🥺💔
2026-06-23 21:20:35
12
user4425629950682 :
😭😭😭😭😭😭,,,mtoto wa mwenzio,,,popote mlipo watoto wake chozi la baba yenu hilo Ila jamani🙏
2025-02-05 07:09:04
40
prety tasha🐾 :
daaaah nimejixkia vibyaa jmn da aaah bx2 nimeumiaaa sanaaa
2026-06-23 20:09:39
4
shanystar collection :
hio.mtoto wa mwenzio imeniliza wallah
2025-02-15 10:35:55
31
Chinko_26 🐣 :
Ccm wameona hii video lakini
2025-02-06 11:19:17
29
Dume la kinyilamba🤣🤣 :
jaman najuwa watanzania tulio wengi tume toka familia ngumu kima isha ila kwa ss watoto tujitahidi kuwa kumbuka wazizi wetu naamini huhu mzee kama. ana watoto hawawezi fanikiwa kwenye maisha kama wapo
2025-02-05 20:04:13
31
marry🤎✨ :
Nimetoa chozi 😭
2025-02-03 18:54:23
6
Cholo Makame 💦🐯 :
Mungu Nijaalie kipato kdg niwape Wenye Uhitaji
2026-06-15 03:11:06
6
Sharmina :
Hi video inanipa nguvu ya kupambana kwa ajili ya wazee wngu😭😭😭😭inaumizaaa Sanaa
2025-03-03 21:45:28
6
m.salah01 :
So pain😭
2025-02-15 12:52:47
5
NEY🦋 :
Hivi hao watoto zake hata kusema sahivi baba anajulikana wafike alipo hawawezi jaman au walifariki😭
2025-02-03 03:56:40
15
baba paroko :
Anajuwa kushukuru,hilo ni Jambo bora ktk Maisha.😭😭
2025-02-07 13:25:58
18
Ge💖🌹🕊 :
Mungu pita mbele yetu
2026-06-15 20:07:03
3
JaneOne_TheBrand :
ila hii video Dah 😢😭😭
Watoto wake kama wameona hii wajitokeze huyu Baba anahitaji Upendo kama huu kutoka kwao
2025-02-05 20:04:08
7
Andrew Eliasi Mmasi :
utabarikiwa kwakweli
2026-06-16 13:15:13
3
Mendy Mechanic :
mwenyez mungu akuzidishie
2026-06-19 10:59:50
1
Master plan📝 :
Daa kaongea kwa isia sana
2026-06-15 08:30:29
1
vyonne love ❤️❤️ :
mungu nipe na mimi nibariki wegine pia
2026-06-18 04:27:15
1
Sharon Kiwone :
minalia 2
2026-06-15 12:01:32
1
Ilene :
duh baada yakupata maisha mazuli ndo anafaliki kweli pole yetu sote kwan tuliguswa sana najambo hili alionyesha moyo waupendo sana
2026-06-23 18:24:38
5
Ney wellington :
Mungu wangu daaah ongera kaka kwa moyo wa upendo
2026-06-16 20:26:16
1
pirates'captain :
masikini wengi huwa tunahuruma sema ndo hivo, hatujabarikiwa kipato cha kuwasaidia wengine duuu nimeumia sana😭😭😭
2025-08-09 05:56:29
3
ᥫ᭡𝓻𝓮𝓷𝓮𝓮.. :
Pumzika kwa amani babu😔💔
2026-06-23 18:14:01
2
🤼♂️mrs✌️Edward👌🚶♀️ :
lazima alie anamengi sana moyoni 😭😭😭
2025-03-17 19:38:58
4
To see more videos from user @mafuru_foundation, please go to the Tikwm
homepage.