@fatmahgambo: Enjoy😋😋

Fetfresh cakes 🎂
Fetfresh cakes 🎂
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 January 2025 13:34:20 GMT
204555
4875
103
190

Music

Download

Comments

deborayunas
debora :
kwenu robo mnaekewa nyingi😂
2025-01-24 22:42:48
15
ms_carls_
ms_carls💋 :
Mbona robo kubwa hivyo🤓 Bucha gaan hiyo na mim nianze kununua huko😅🤗
2025-03-17 11:50:46
4
dreamconfortystore08
fateeydreamcomfortystore :
ninashida na hilo butcher nyama yote hii robo😅
2025-02-06 22:00:47
14
fearlessevah
Viana💕💕 :
Mtu anisaidie kumtag murumbeee aje ajifunze hii😂😂
2025-03-02 06:28:51
5
witnesssamle
official tee🦋🦋 :
me nachemshaga mpenz naogopa kama haitoiva ety 🙈🙈
2025-01-25 07:48:59
6
mariapaul031
Marie❤️ :
robo au robo tatu
2025-03-13 17:00:29
0
mgonja7
mgonja7 :
hyo nyama mm mwenyewe sishibi ongeza kidogo
2025-01-29 09:38:18
0
user4591160310613
tanisha :
awe hyo sio robo labda nusu ama robo3😂😂
2025-01-25 05:13:46
1
user19538562907077
Halima James :
jamani mie mshamba eti iyo uliotumia nyeusi iyo ni Nini na inasaidia nini
2025-01-25 16:59:39
1
rahmiryomary
Rahmiry Omary :
kyela nyama robo 2000 manakula usiku familia ya watu wanne
2025-01-25 13:26:22
2
mum.sapnah
Mum Sapnah :
unajua kupika co pow
2025-03-08 22:33:08
1
hanifa0841
hanifa :
iyo mboga ingine ni nn naitaji kuijua
2025-03-20 05:08:56
0
tinnah545
tinnah💓💞💕 :
robo vpande vnakuwa 10 au 9 mbn hyo kama nusu
2025-01-25 06:50:22
2
rehemamkagila
Boss lady Empire ♉️ ❤️❤️❤️ :
mwanangu mm bila mchuz hautoboi
2025-01-25 09:29:35
3
lilian06907
lilian :
waoo😁😁
2025-02-25 13:47:35
1
maycee_255
OZALIMA🦋❤️ :
Uvivu wakuosha Mwiko😁😁😁😁😁
2025-03-07 20:18:48
0
dearna959
dearna@ :
niomyeshe namn ya kukata izo carotid hiv
2025-03-15 13:32:49
0
princes.ney7
Princes Ney :
shoga isipoiva bila ukichemsha na maji
2025-03-20 12:31:49
0
gnclassic9
GN classic :
nyama robo chuzi la kupima na rula ukila baada ya siku tatu nyama ndio unazikuta chini ndio raha yake bhn😀😀
2025-03-25 11:34:39
0
hamzakinjimbi
hamzakinjimbi :
inategemea na familia uliyinayo na uwezo wako 😂😂😂
2025-01-31 13:22:55
0
invisible_175
Side✌️ :
pika chapu bando lenyew nimekopa
2025-03-23 23:59:26
0
terryemmanuel16
Terry :
@gladness huwa unaimalizia jikon yote
2025-02-06 16:57:25
1
ghulshan.ally
shan🥰❤️🔐 :
@Salima 😂😂😂😂
2025-03-21 09:07:27
0
cuteaychyna4
🦋𝓒𝓾𝓽𝓮𝓪𝔂𝓬𝓱𝔂𝓷𝓪💫❤️ :
@Simply chyner🌹
2025-02-26 15:40:36
0
carenilavenja
zuuh :
Rob y nchi gan au mka gani make sis uku mmh😂
2025-03-04 16:52:18
0
To see more videos from user @fatmahgambo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About