@mstari_tv: ZINAA NI MBAYA SANA #islamic_video #zdtz_media #mawaidha

𝗠𝗦𝗧𝗔𝗥𝗜 ṮṼ🕊
𝗠𝗦𝗧𝗔𝗥𝗜 ṮṼ🕊
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 January 2025 14:55:08 GMT
203848
17557
598
3171

Music

Download

Comments

user2838917369548
chiaHuda :
Ya Allah tunusuru na zinaa sisi na vizazi vyetu na waislam wote kwa ujumla hakika ya adhabu zako Allah ni kali hatuwez kuhimili😢
2025-01-24 18:49:59
243
user355480599011
user355480599011 :
wengi wao wanaokoment allha atujaalie mwisho mwema ndo wazinifu wenyewe
2025-01-25 05:38:15
51
farida97406
farida :
Allah nipe mume aliye bora niepukane na zinaa
2025-01-25 08:22:13
145
saidfarid45
nzimsafi3 :
Alhamdulillah nina miaka 23 na sijawai kufanya zinaa🤲
2025-01-24 19:45:53
103
inahassan602
Habibty🦋❤️ :
May Allah forgive us all and protect us😭 😫🤲
2025-01-25 12:07:15
44
user4345798732330
zahr🥰 :
yarrab nipate mme wangu ili nipate cha kusema mbele zako😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-01-24 21:09:27
58
idayaissa552
Idaya Issa :
ya allah tufanye wenye kuomba toba na kusamehewa kwako muumba wetu.
2025-01-24 20:13:14
26
valued_gal
美美💞 :
nimeachwa Kwa kukataa kuzini.hakik amri ya Allah ni Bora kule yy.naimn aliyewa kher ataniletee Allah na hatakuwa mzinif inshallah
2025-01-26 13:14:25
20
abuu.ahlam4
Abuu Ahlam :
ewe Allah tuepushe na utueke mbali na dhambii hii ya zinaa
2025-01-24 18:16:16
41
mishy.omary4
Mishy Omary :
may Allah forgive us all
2025-01-24 16:56:49
46
itsfaah08
Faah Collection🛍️ :
Allah Nipo mume kuepukana na hiii zambiii
2025-01-25 09:30:49
20
user67371523723883
Arafa Mwalimu :
Mungu nijaliee nipat mume kabla mwaka haujaisha niepukane nadhambi ya zinaa
2025-01-26 11:20:25
7
user9916102440768
nasra :
yarabi nipe mume bora niepuke zinaa
2025-01-25 15:40:52
13
ukhtyzesh
Ukhtyzesh :
Ni mtihani sana ALLAH atuhifadhi na jangaa la zina
2025-01-24 16:23:40
17
king.of.peace31
king of peace :
yaa Allah nijaliyee uwezoo wa malii ili niweeze kuoo niepukane na zinaa
2025-01-29 03:53:39
6
user44387547840307
samirah :
alllah nisaidie nipat mume bora amiiiiin
2025-01-26 05:51:58
11
biaixher_hashim
Biaixher_hashim :
yaa allah naomba uniepuxhe na zinaa naninaomba ajitokez mwanaume wa kunioa
2025-01-26 04:29:59
5
rahma.yassin94
Rahma Yassin :
Allah nipee mumee namm nistirikeee yaarabiii😭😭
2025-01-25 14:26:45
7
zyne514
@Zyne🎀🦋 :
Allah atusamehe na atuhifadhi🙏🥺
2025-01-24 20:11:04
9
user9100520090403
Supreme man😎 :
subhanna Allah Allah, tusameh sis waja wako😭🤲☝️
2025-01-24 18:21:11
11
mariammohamed1247
Mdiri :
yaa Allah tusitiri kwa kutupa ndoa waume wenye kheri na sisi
2025-01-25 07:11:05
7
sabrinanasibomolu254
sabrina06 :
may Allah forgive all of my sins subhannallah 😭😭😭😭
2025-01-25 14:50:58
10
nameless3474
nameless :
may allah forgive us
2025-01-25 04:51:33
18
.......aa.1
ꨄ :
Subhanallah😭may Allah forgive us all
2025-01-27 09:21:34
5
issazahor
MNYAMWEZ :
ya rabiy tutoe kwa njia potof
2025-01-24 19:03:33
9
To see more videos from user @mstari_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About