mimi nimetumia hio vaseline ya lotion imenig’arisha sana hasa kweny mikono halaf nikaonekana kama nina sugu wakati hata sijichubui kabisa🥹
2026-09-12 06:20:08
1
salmicious og :
samahani dada kw mfano mtu akitak bidhaa zak kw juml unauz
2026-11-10 15:23:43
1
Mama_Caren :
Kwamweupe inafa
2026-02-07 09:04:11
1
profile :
unapatikana wapi
2026-08-16 17:11:37
1
Khadijah🙂 :
shingapi zote , na ninataka ya kupaka na usoni sasa
2025-03-25 03:59:37
4
mariam mabele :
hizo zote naweza nikapaka na uson
2026-09-11 11:12:43
1
CATHOLIC GIRL 💒🎀⛪️🥰 :
kwahio hiyo haifai kwa usoni itakiwa vaseline ipi kwa uson
2026-04-08 10:07:57
2
nanah kidee :
hyo lotion ya vaselin shingp
2026-04-11 12:44:34
1
Nathalie :
Naomba mafuta ya kuni weka niwe chocolat mwili mzima
2025-04-03 04:12:15
2
💵kimnana💵🤍💙💚 :
nzuri sana iyo
2026-03-15 04:42:30
2
Ney beaunty😉❤ :
iyo haifai uson kwan dada
2026-05-12 13:22:57
1
lidephonce :
bei
2025-09-20 10:24:40
1
🦋it's caty💜 :
Kwa mweupe mwenye ngozi ya mafuta inafaa
2025-04-04 17:14:11
1
anna :
bod oli inafaa kupaka uso
2026-06-20 11:46:24
1
shase j :
je haya body oil nayo yanafaa kupaka usoni ukiachana tu nahiyo lotion
2025-09-15 17:19:15
1
Rahma urocky🌹💜 :
mbon wengin infaa usoni mala haifai
2025-08-30 21:03:07
1
ummymtoto💞 :
kama mtu ngozi yake inaukavu wakawaida na anahitaji ya kung'arisha 2 sio kujichubua na anataka ya mwili mzima na usoni unashauri apake ipi?
2026-07-16 20:29:20
1
Missnice✨✨💫 :
Mweusi nayo inafaa
2026-02-22 16:35:57
2
user2316171952505 :
hiyo Vaseline gluta sh ngap??
2026-02-06 02:02:00
2
sandy :
namba
2026-03-07 14:48:20
1
Vee_charz♎️❤️ :
sasa kama sio ya usoni zote mbili za nini?
2025-10-28 18:07:31
2
Beliciana ❤️ :
Body oil inafaa uson??
2026-02-02 17:07:06
1
conny trendz :
mm nashangaa jaman kila vaselin uspake uson em naomba maelekezo ipi ya uson na ip ya mwilini mm ni mweus nataka kuglow kidogo tu kutengeneza ngoz ya choclate
2026-04-30 10:25:37
1
Jenique💝🔐 :
hii ndo shingapi yote kwa pamoja
2025-09-01 11:24:15
1
To see more videos from user @j_cosmetics_morogoro, please go to the Tikwm
homepage.