@rashidbattashy: #tiktokzambia🇿🇲 #ethiopian_tik_tok🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokzanzibar #tanzania🇹🇿 #forodhanizanzibar

Rashid battashy
Rashid battashy
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 January 2025 16:26:13 GMT
39331
770
63
138

Music

Download

Comments

clarenceseedorf259
seedorf259 :
airport amejenga sheini kwanini useme kazi mwinyi?
2025-01-24 16:34:07
17
hish018
Hish :
alafu kuna watu fulani apo zenji wanakwambia mwinyi hafanyi kazi
2025-01-24 17:14:55
10
user1490205340952
cha # :
ayo maji huroi voo ni maji faki ya kioo tu lkn utaona km unaroa
2025-01-24 17:22:44
6
husseinmohdkhamis
mufit husse :
uonga hapo sia Zanzibar usmpaishe huyu mwinyi mwiz
2025-01-24 21:08:53
2
brownxoul
neo_clan :
Wanashangaa maana yake hawajawahi kuona airport ama?
2025-01-24 17:14:18
2
mamiloo337
mamiloo :
Epoxy
2025-08-17 21:54:03
0
mudrikkisijin0
mudrikkisijin🇹🇿🇨🇦🇹🇿🇨🇦@ :
vichogo wakienda hivi vitu wanateseka Sanaa na hapa wakiona ii sms watakuja kukoment makolo wa kibongo 🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
2025-04-11 00:00:42
0
fahashianimals
fahashianimals :
wazungu washamba hao sisi tuko dunia ya tatu kisha ufananishe na maisha ya ulaya na marekani mbona unatufanya wajinga watu wako karne ya 21 sio ndio kwanza tuko karne ya 5 maisha magumu kila kukicha
2025-01-25 04:25:07
2
itsme230911
hafsy💙🦋 :
Mzungu anashangaa MI Nani nisishangae 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-09 20:08:04
1
moyoumechoka0
Muba One Popote kambi :
KUTAFTA KUNGOWANA MENO TU WARUKA MAJI CHINI MENO HUNA😂😂
2026-01-14 16:07:27
0
abiyaazim
Abiyaazim :
Wacha ushoga
2025-01-25 04:01:09
0
khamis.issa6
Khamis Issa :
❤❤❤safi sana
2025-01-24 16:44:24
0
hassan.msangi8
hassan msangi :
kama balkis alivyoshangaa kasri la suleiman
2025-08-28 21:46:57
0
bajeiwabirikau
jkhz :
utampa mitano wewe na mkeo
2025-03-11 12:59:10
0
miss_maleysah2
user6104522512496 :
washamba tuu hao kipi cha kushangaza
2025-01-31 14:27:40
0
anty.mwaju
Anty mwaju :
safi sana mitano tena
2025-02-24 21:13:59
0
shafii_doctor
Shafii_doctor :
علي اليوم تمر مره سعت
2025-08-19 20:29:05
0
twalibvuaimosi_
Twalib vuai mosi :
mshamba ni mshamba tu haijalishi anatoka nchi gani 😁😁
2026-02-17 13:42:21
0
qudrat.04
Qudrat :
Mambo ya kawaida sie kutoka Ughaibuni
2025-01-24 17:50:36
0
arafa.mohamed046
Arafa Mohamed :
kuna sisi ambao tupo zanzibar na hatujawahi kufika hapo
2026-03-02 08:47:28
0
ahmed.shaa068
Ahmed Shaa068 :
Wacha chuki tutampa mitano bila wasiwasi
2025-01-24 17:57:57
0
zena6193731674885
ZenaIssa :
mitano tena
2025-01-24 18:00:29
0
atrash__
Atrash :
utakula kazi y doctor mwinyi
2025-01-24 17:46:10
0
mrfixer00
Mr Fix305 :
Mpaka kijangwani saivi dkt mwinyi ANAFANYA kazi nzuri
2026-05-03 11:14:21
0
ahmeidyoung
Ahmeid Young :
👍
2025-01-24 17:25:18
0
To see more videos from user @rashidbattashy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About