@waizer.it: #fyp #foryoupage #dombele #southafrica #southafricatiktok🇿🇦

Waizer
Waizer
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 January 2025 10:22:41 GMT
174369
9095
218
178

Music

Download

Comments

fatimaamadini
fatimamadini🧿 :
Hiyo radiant hair mask umenunua wap mami?!?
2025-02-02 20:35:52
18
naadju123
yussfat :
Kama unaamini mpaka ifikapo mwezi wa 6 kila mipango uliyoipanga Itakuwa imetimia kwa uwezo wake Mungu gonga like apa uxixahau kunifollow
2025-01-28 07:06:45
777
user8483249145312
Cute3 :
kama ulikuja comments section bil kumaliz video like hap😂
2025-01-26 12:45:07
493
laidahmaris
laidahماريس_TSB :
hakuna mtoto wa miaka 23 ❌❌❌
2025-01-26 22:07:35
112
tekla9824
farida❤️ :
kwa sisi wangoni wa south tunasema kwa niaba ya wangoni wa south mama umefanya kitu sahihi sana 😂😂😂😂
2025-01-27 06:44:26
61
amba_46
Amba :
Huyo mama asichokijua kwa yeye kutokwenda kumsapot mwanaye,huyo mtoto atapunguza mapenz pale atakapokuja kumuhitaji hatokuwepo maana hayo maamuz ya mama hayamjengi ila yanabomoa
2025-01-26 11:17:30
3
timewilltell999
maliga :
mm ndio nliweka rangi nyeus kwenye nywele na sjalipwa mpaka sasa
2025-01-26 10:29:23
26
catrina429
Catrina2023 :
Waizer hizo product zinapatikana wapi?
2025-01-29 14:15:57
0
rechomakobahgmail
RACHEL🇹🇿 :
Me ningeenda kusikiliza tu chako ni chako hata baba ake alikuwa anafanya hvyo kavumilia mpka akapewa mimba naenda kuona anafungwa mingap
2025-03-21 14:19:06
1
rm.beauty_essentials
Rm.beauty_essentials :
Itakua mama ake ni mtanzania 😂😂😂🔥🔥🔥
2025-01-27 05:32:46
8
minnaadolphan
Minna🖤 :
Si angeomba tu😁😌
2025-03-02 13:04:36
1
feisalissa122
f city 🇺🇬🇰🇪🇹🇿🇲🇿 :
👍
2025-01-26 23:18:10
0
_iambrenda35
_iam brenda3🦋 :
Mama kafanya uamuzi sahihii kabisaaa🙌🏾
2025-01-26 11:05:00
68
kebhaso28
Zuhra ☯️ :
una nywele nzuri Mashallah
2025-01-26 13:16:34
36
beingpatricia
#beingpatricia :
ningemtafutia wataalamu wa afya ya akili mwanangu Sababu nahisi sio mzima
2025-01-26 14:03:42
26
arushawaxing_tz7
Arusha waxing and body scrub :
Huwa nakuelewa sana ukiwa una simulia🥰🥰🥰
2025-01-26 10:28:57
13
kacmbest
Kacmbest :
Mimi wanangu wanajua kwamba wakizingua chochote they are full responsible
2025-01-26 11:24:26
10
zeynerb1
SAFIYA :
like father like son
2025-01-26 12:18:00
8
..aries263
maxsteven :
these may be false or true accusations or maybe the girl is taking advantage of the boy's past
2025-01-27 10:26:33
6
jolynpetrick8
jolynpetrick8 :
She is 100% right
2025-01-26 11:25:14
6
cornylee
🍎cornylee🍦 :
kwani ni ipi maana ya kuwa wapenz jaman hapana mimi ningesimama kwa mwanangu 😒
2025-03-17 17:16:42
5
ruky123_
ruky123_ :
Mnatoa wap nywele zote hiz🥺🥺
2025-01-26 22:56:29
5
devinasamson05
D dada :
sio South tu ni tabia iliyozoeleka kwa wanaume wengi jmn
2025-02-04 14:05:34
4
w.y.d96
W.Y.D :
nakupendaaaa unaongea vizuri sanaaa
2025-01-26 14:54:25
4
missboss051
miss boss :
Kilavideo unatengeneza nywele ☺️
2025-01-27 07:14:02
3
ireni505
EYES👀 OF WAKANDA :
avune alichopanda kafany mamuzi mazuri, huy mama karithi Kwa baba yake huyo
2025-01-26 11:16:00
3
.it_me_dydah
.it_me_dydah :
Mm ndo huyo mama sasa🤝
2025-01-26 10:53:00
3
wiseena
wise_ena :
asie funzwa na mama ake hufunzwa n ulimwengu 😔ok ukishaweka iyo hair mask then unakosha nywele ama
2025-03-02 17:21:11
2
lylah904
lylah :
sio kwasababu ni mwanangu natakiwa kutetea maovu
2025-01-27 08:35:31
2
user25851872627755
it'srachel92 :
mama mzuri💜
2025-01-27 07:39:33
2
jadeadenuga
Jade Adenuga :
ridhaa gani aunayotaka na vyawatu unakula?? ukila lzm uliwe
2025-01-27 17:45:33
2
willywayne..2
willywayne2 :
story nzuri sema ndio utuhadithie uku unapaka mafuta kwa nywele
2025-03-19 16:19:42
2
user2950827362123
Najmah UAE :
Mimi hata akinitambulisha bint baada ya muda aniletee mwingine tena , hiyo kwangu haikubaliki
2025-01-26 19:26:41
2
_ennah7
🦩fayy🪐🫧🧸 :
genetics
2025-01-26 13:35:00
2
n.gebra6
Novelty💖 :
Ningefanya kama huyo mama
2025-01-26 10:36:09
2
eishersavage0
E&S🌸🌚 :
Me ningesimama n mwanag baada y hapo ningemkalish chini na kumulekeza vizur zaid angerudia tena ya 3 bsi ningekaa pembeni
2025-01-30 11:22:05
1
ladyannama_k
Ladyannama_k :
Mama yuko sahihi na inaonyesha Mtoto karith kwa Baba
2025-01-28 21:10:56
1
ferouzmasoudriamy
Ferouz Masudi :
mimi kama ni mwanangu ningeenda kum support kwasababu dogo ni rijali na ana functiion well ndo maana anakulaga mzigo kwa nguvu hakuna ku remba angekua shoga ningeficha wapi uso wangu
2025-04-01 04:09:27
1
calm7027
calm💕 :
Big up mama💕
2025-01-28 08:00:04
1
rachel.gunaguje.m
Rachel Gunaguje Medan :
mimi ni mteja wa Radiant nipo kigoma lkn bidhaa zao nyingi hazipo kabisa huku tunauziwa stiming,mafuta ya nywele Yale ya orange bas vingine hakuna 😥 nakutaman sana naona bidhaa zao zote unazo
2025-01-28 07:47:28
1
black_jay78
Black_jay78 :
Sio mtoto tayar ni mtu mzima na pia karithi tabia za babaake vya kurithi vinazid Kama uwez kuji control na kukemea tabia za wazazi wetu uwa zina tuathili kwa kiasi kikubwa tabia za ki ukoo
2025-02-06 12:22:02
1
isca39
p💞 :
ningemuacha apate funzo Kidogo make nikiendelea mkumbatia Ipo Siku ataumia Yy na kumpteza Sasa Kheri Nisimpoteze Kheri akae Huko apate funzooo
2025-01-27 04:48:37
1
abulelle29
homeless :
mbona kam story zako sizipat sikuiz ..
2025-01-29 14:30:44
1
ts_monah
~💫THE CHOOSEN ONE ❤️😇✨ :
Like father like son 💔
2025-03-17 17:24:22
1
4311abdalla.hemed
Abdalla Hemed :
Mm kama mzazi its vry simple nitaacha sheria ichukue mkondo wake coz cwezi condone such acts leo ni mtt wa mwenzio kesho ni mwanao nikimaanisha wakike
2025-01-27 08:04:10
1
sonia.dangote
Sonia dangote :
Sonia imekuwaje
2025-01-27 14:40:24
1
iamsarh55
Sarh🩷🌸🦋 :
Samahan wew n mtanzania so kwa nywele izo😳
2025-01-26 20:02:07
1
maulana.alchichy
maulana Alchichy :
kumuingilia girlfriend wako inaweza kuwa ni kinguvu??? aiseee
2025-01-26 10:33:33
1
samaseries0
📍 𝑺𝑨𝑴𝑨𖤐 backup ♉️ :
iv dada we ni ndugu yake calipso
2025-01-27 19:05:31
1
yasintahamidgmail.com0
user3045370656540 :
una nywele nzur sn mashaallah ☺️
2025-02-27 14:23:46
0
the_ironbutterfly
Iron butterfly🦋💫✨ :
ningempiga
2025-02-24 21:33:36
0
gorret691
Gorret :
missing you sis
2025-02-26 17:34:42
0
dux88977
faithfully :
🙏🙏🙏
2025-02-25 19:16:43
0
To see more videos from user @waizer.it, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About