wokovu nguvu moja anaekubali wokovu wakweli tia kopa kwayesu laa nawapenda
2025-01-27 16:38:41
93
ELVIS :
nyimbo zina anza ku trend Tena🤣🤣kweri gali lilikuwa halifai
2025-01-28 07:56:26
76
💜 Betty 💜 :
great not everything u receive is gift 🤞 ulifanya poa kuchoma gari✅ipo siku 🙏
2025-01-27 21:43:00
47
singogo :
songaaa dogo mungu yupo
2025-01-26 22:14:00
46
Lizzy Modestus :
ameni
2025-01-27 13:26:28
4
Awino Rose :
more blessings and be covered by the blood of Jesus 🙏🙏
2025-01-27 19:31:48
7
Toto la YESU :
praying for you bro🥰🥰
2025-01-27 20:06:54
9
anitha@ :
Nampenda huyo kiumbe jaman Mungu anituzie2 Amina
2025-01-27 14:12:31
30
peter manyinyi :
Rafiki wa dhati ni Mungu binadam wengi ni waongo
2025-01-28 01:38:28
4
mkarye mqpenzi :
napenda hinyo nyimbo kweli
2025-01-27 19:06:15
8
user7057127870712❤️🌹 :
Bwana akurejesheee vilivyo bora zaid kama Mtumishi ayubu alivyorejeshewaa mara mbili ya alivyonavyo nawe ikawe hv kwa Jina la Yesuu
2025-01-28 07:01:36
5
TripleA 2009 :
Mungu ni mkubwa fikilia huu wimbo ni wa mwaka gani? Na nistuation anayoipitia Kwa sasa ila tayari ilishapewa wimbo wa kuhuutuliza moyo wake 🙏 May god stand with him 🙏🙏🙏
2025-01-27 22:39:53
6
dazina :
Wamejiunga na kutaka kuuua kipaji hili na kwa Jina la Yesu hawatafanikiwa
2025-01-28 15:56:18
22
Amani Ombeni :
Ubarikiwe sana kk
2025-01-30 10:54:28
1
Costantine justine :
😳tayar kashanza rud kweny mfumoo👍
2025-01-27 17:59:58
3
Salvation :
songa mbele kaka tunakuombea Mungu akukulind na akulejeshee kila kilicho chukuliwa na Adui
2025-01-27 07:24:51
35
joseph amani sibonike :
NILIKUA NA KUPENDA SANA LAKINI KWA HILI HUFAI
2025-01-30 08:24:18
2
zegalander 👑 :
wueh! uyu kaka waliiba nyota kwa kweli 😂😂
2025-01-28 11:52:12
2
lusia juma :
upo vizur bro mungu atakusaidia
2025-01-29 20:31:39
1
vash_shine🦋♓️ :
Always utakua sawa 😍 Mungu akusimamie kwe kila jambo🙏🙏🙏
2025-01-28 07:47:36
2
Sashaseanfred :
Mungu azidi kukupa viwango vya juu
2025-01-27 14:40:34
4
Happy ✂🧵👗 :
Mungu akulinde kipenzi chetu jaman🥰🙏
2025-01-27 19:06:26
2
Salma Salvius :
amin kaka
2025-01-28 04:06:49
1
Sethi Daniel :
Umerudi sehemu slama hongera sana
2025-01-28 09:18:21
1
To see more videos from user @abbyalien_01, please go to the Tikwm
homepage.