@omari_koge21: Huyu hapa Mwamba, Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré. Amewasili nchini kushiriki Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Nishati unaoanza leo, Januari 27, 2025, jijini Dar es Salaam."
sasa hapa angekuwepo mwamba Magufuli akutane na kijanawake ingekuwa poasana
2025-01-27 18:55:41
296
Rose Gr :
huyu ndo mwanaume sasa sio hawa viongoz wa tanzania wanaopelekeshwa na jimama
2025-01-27 19:27:19
263
Zainab@smile😍 :
mbona m simjui n nani huyu eti🙄
2025-01-27 19:33:45
46
Mr pixel :
jamaa angekua rais wa Tz tungekua mbali sana kimaendeleo maana atumii sheria anatumia amri💪💪🔥🔥
2025-01-27 15:19:03
156
priscka assenga :
mbona mnamwongelea sana baba yangu mzazi jamani najivunia kuwa na baba kama huyu ila kanileta tanzania kwa mafunzo ya umbea kidogo nitarudi kwetu kesh
2025-01-27 17:48:39
9
I am Gwenny :
watoto wa shule ya msingi sasa waexpect swali hili kwenye mtihani wao hapo baadae nikiwa mzaz😁, mkutano mkubwa wa nishat nchini ulifanyika mnamo------😂😁
2025-01-28 06:49:26
10
Big Monster Master :
Kwani Tz tuna kiongozi Jamani mbn me sumjui bado
2025-01-28 04:23:03
8
Keny_B16 Beny :
huyu kuja bongo labda chuma angekuwepo maana hacheki na wowote
2025-01-28 11:31:20
9
Bernard ndunguru :
acha kutunga habari za uwongo bhana ifike atua mjue izi taarifa zinaufikia umma wa watu na mnapotosha jamiii
2025-01-29 05:50:18
7
Shuu❤️🦚 :
Kwan ameshaoa tayar
2025-01-27 20:37:52
20
user7124799680262 :
Mwamba huyu apa.
2025-01-27 16:21:13
10
user1831696181921 :
VIVA MAMA AFRICA VIVA Traore the true son of AFRICA REVOLUTION
2025-01-27 18:36:17
88
miss_pinky :
Haki siwezi ishi bila yeye😂😂
2025-01-27 15:12:45
47
maus :
nimepata stor yake anko magu alimpaga mimba mama yake ibra ndo akazaliwa ibra
2025-01-28 07:52:21
11
Romie Godson. :
This president is the person to emulate and that is my vision.
2025-01-27 19:05:12
5
shantely 💎 :
if I miss behave jmn sorry but I really love him jmn
2025-01-27 20:40:10
6
Massai og :
hawezi kuja mtamuwekea sumu kwenye maji
2025-01-27 13:54:56
6
D14 _SKY WAY,,,004 :
nimewaelewa hao bodgard walovaa maski nishidaaaa leta fyoko tukufanye hamna!!!!moja yakazi nilotokeaga kuipenda ni jeshi nalipenda mpaka kesho