@pizzo_fx: USDHKD???,note fluctuations are small compared to other pairs,For USD/HKD, the spread tends to be relatively high 💀 #trading #forex #footprints #orderflow #volumeanalysis

pizzo_fx
pizzo_fx
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 27 January 2025 13:20:21 GMT
435906
25354
588
3409

Music

Download

Comments

mls_dennis
MLØ Déññîs :
😆😆😆hii ukienda kufungua pale mt5 spread zake unaonaga line moja ya sell hio ingine ya buy huioni🤣
2025-01-27 14:26:02
66
thunderbolt_ke
T H U N D E R B O L T :
kuna watu wakifuata hii strategy hiyo ndio siku God atawafanya funzo 😂
2025-01-27 14:53:37
842
_key.bronje_
✨️key.bronje😜 :
🥳thanks hapo sasa naenda full margin na pesa ya rent
2025-01-27 13:29:56
304
rennytnk
Renny :
Alafu Tu Ile time ntabuy ndio itabreak hizo barriers😭😭😭
2025-01-27 13:50:31
253
eng_oliechfx
Eng_Oliechfx :
Hii unangoja 2years ndio unapata entry moja 😂
2025-01-27 14:36:25
293
_alex.__h
Alex Kamau👁️ :
najua nikitumia hii strategy nitakua example😭🤣
2025-01-27 21:23:21
61
manuhgallery
Manuhgallery :
so naweza weka buyn sell limit hapo always
2025-01-27 13:27:31
30
canada.jobss
Original Shija🇨🇦🇹🇿 :
😂😂Hii nayo imebidi nicreate HFM account mara moja juu Deriv hawapendi watu waomoke hivi hivii
2025-01-27 13:46:52
54
_.qweezy254
254qweezy :
lot size wacha niongeze😅
2025-01-27 22:01:42
9
atla0012
🌅 :
leo nimejua kitu hadi roho imekubali. full margin 🏃🔥
2025-01-27 20:27:30
19
kipchirchir.t
mapunjan komili :
SA si spreads wanaeka hapo juu hadi uko chini
2025-01-27 13:45:46
8
donmuskie
Muskie Don :
Consolidation 😂ipo siku kutakuwa na Breakout
2025-01-27 15:34:04
17
david.sikilai
David Sikilai :
waambie hiyo ni timeframe ya daily
2025-01-27 14:37:13
5
ashaa_babiee0
Ashaa ✨️ :
kama huja save hii video sahauu kuomoka😅
2025-03-28 16:40:35
5
m.i.g.w.i
M.I.G.W.I :
hii nayo inataka separate account yake kadogo tu alf ikifika hiyo point unaeda full margin na unaacha mwaka mzima😁😁😂
2025-01-27 18:44:14
6
anyoike
Anyoike :
Pizzo ile ujuzi uko nayo ya hii trading is on its level. Keep on sharing more n more knowledge bro
2025-01-27 13:41:06
6
predators010
predator :
it's extremely slow and low volatile it's good for long term trading high volatile pairs with good knowledge it's better
2025-03-31 17:17:26
5
djdeen_kn
Tønni-ë :
Nimerudi kuwakumbusha imetal demand zone Friday
2025-04-13 04:54:36
3
chaleeblack
Chalee Black Trades :
ayayaaaaah sasa nishapata ya kuingia full margin 😂
2025-01-27 13:54:40
1
patmoh4
patmoh :
bro hii kitu iko hapo kwa 7.84 na nimewekelea sell. alafu manze hata haisongi walai. vile tu iliweka pesa za spread iko tu hivyo huskii.
2025-07-09 12:48:42
0
essie_11
✨️ :
Ulijulia wapi😌?
2025-03-24 12:51:22
2
yy_yy402
sospeter :
but this is for long term traders... juu hyo ni 5yrs Timeframe
2026-01-10 12:12:25
2
To see more videos from user @pizzo_fx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About