@bray_brand02: #ambwenemwasongwe #gospelmusic #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #goviral

BRAY BRAND
BRAY BRAND
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 January 2025 19:00:10 GMT
478106
33710
301
1713

Music

Download

Comments

user9238795854447
Daty :
Abarikiwe mwanamke alie kuzaa 😭😭😭
2025-01-27 23:18:47
630
focusfromdsm3
KAKA JIKUBALI🇹🇿 :
jamani muniombeheni mambo nimagumu ata kama aunijuwi niombee tu namungu Atasikia 🙏💔💔💔
2025-01-28 13:32:07
409
reychal23
Mom Dee❤️ :
Mungu wngu muonekanie mme wngu kwnye mahangaiko yake mfungulie milango yote ya barak waonekanie na wanaume wote kwAajil ya familia zao AMEN 🙏🏾
2025-01-29 04:37:49
158
misslulu300
lulukawago :
nipatee mtoto tuu huu mwaka nimechoka kabisaa
2025-01-31 11:21:53
65
sperospera18
Spero spera🤍 :
huu wimbo unanikumbusha izack nilisoma nae advance alikua anaimba mbaka analia alikua yatima😭😭 pale nyumba ni magofu😭
2025-01-28 18:39:03
63
maryseth58gmail.co
[email protected] :
my favorite artist
2025-01-28 10:36:04
18
user5503565459233
❤️🇨🇩🇿🇦 :
jamani mutuombeye Congo 🇨🇩mambo ni mazito😭atujuwi vita ita Isha lini🇨🇩🇨🇩😭🇨🇩😭
2025-01-31 09:06:22
9
user1140075426147
michael kiliwa :
huyu braza ndo anaja badilika alivo anza ndo ana mwedo ulele amina sana kaka
2025-01-28 06:53:29
69
nailaalphat
NailaAlphat :
uwana nakumbuka kakazang walikufa na kuniacha mpweke kwenye Dunia hiii🙏🙏🙏 😭😭😭😭😭😭😭
2025-05-31 14:39:38
3
aggyfp
Lizzb@ :
huyu baba nyimbo zake zinanigusa sana mungu akubariki🥰🥰🥰🥰
2025-01-28 08:07:06
55
big_ben_yo
Big_Ben Yo :
Nyimbo inaitwaje hii jamani
2025-01-29 16:30:43
11
janetymathew
janetymathew :
naitaji sana maombi ya watanzania wenzangu naombeni sana maombi yenu wengine tunapitia hali ngumu sana jamani mungu tu asimame akaushe haya machoz jaman dah😥😥😥
2025-04-09 14:50:26
3
user5497106393161
mr khan :
ee Mungu huu mwaka naomba nipate watoto mapacha
2025-02-16 04:42:02
6
nmb772
NEY🌺🔐 :
ukiandika neno MUNGU jitahidi andika kwa herufi kubwa😭😭😩😩🥰🥰
2025-01-30 11:50:55
9
amwa134
agnessndabhalu :
Naukubali sana huo wimbo
2025-01-27 20:00:11
46
debora.bahati
Debora Bahati :
Mutu ombeya nasi kwenye Congo 🇨🇩 🇨🇩 tunateseka vita 🇨🇩🇨🇩 vijana wana uwawa wa baba ata wa mama na wa Toto 😭😭😭😭 mungu atuoneye uruma 😭😭😭😭
2025-07-07 17:37:27
2
mchuno08
williammchuno :
MUNGU amubariki
2025-02-21 17:24:05
3
sportslady00
Sportslady💙🤞 :
🥰nyimbo za huyu mwamba zimebarikiwa🙏
2025-01-28 13:31:49
6
user8675045724129
Ukweli wa neno la mungu :
Ambwene ni namba 1 kwangu ukilinganisha na waimbaji wote.
2025-01-29 18:13:11
3
user9138411433610
JB young boy27 :
Ambwene Mungu akupe maisha nakupenda sana na huduma yako ya uwimbaji
2025-01-28 16:27:07
2
jamila.said71
J nas :
😭😭😭😭😭 nalia kwafuraha uwa unanibarik sana mtumish wa mungu nyimbo zako
2025-02-05 06:24:09
2
happelight
Happylight Peter :
nashindwa ata kusimama nakaa kutafakari
2025-01-28 18:28:19
4
barakamhondele
Baraka Mhondele :
be blessed mtumishi,huo wimbo unanigusa sana amina.
2025-02-01 05:47:20
4
user2947987619283
Mrs elina :
duuh amen
2025-03-06 17:03:41
1
driverbarnaba
Driver Barnaba :
kazi na Sala mzee baba 🙏🙏🙏
2025-04-10 18:37:41
1
To see more videos from user @bray_brand02, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About