@rahma_daudofficial: Naomba sikio lako la kiroho silitaki la kimwili kabisa kwenye hili. #Rahmafacebeat #Foryou #Fyp #bittertruthofoursociety #beuniquewearstzbyRahma #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 January 2025 12:37:47 GMT
201539
13032
658
1276

Music

Download

Comments

lulu1238547
000000@0742621533 :
kitu pekee kinachonipaga moyo ni kuwa ukimwomba Mungu anakusaidia😢😢
2025-01-28 16:10:10
333
nufayla.kheri
Latifa thabiti :
kuna watu wakiolewa wanajiona wamemaliza sana nakuona wenzao wasio olewa awana akili
2025-01-28 15:40:17
132
marion_sd1
marionksidi :
ex wangu tulipo break up aliniambia stawai pata mwana me atakae nipenda kama yeye. my sister I'm still suffering
2025-01-28 20:08:40
76
vinner907
Vinnah :
mm niliwah kumsomea mtu zaburi 109 kwa machungu mno.mpk badaye nikamwambia mungu nimesamehe na namuomba mungu afute hayo yote jaman🥹💔
2025-01-28 18:34:27
14
user6051269728725
queen :
libarikiwe tumbo na kiuno kilichokuzaa umekuwa baraka kwa jamii mafunzo adhimu sana
2025-01-29 14:13:02
67
winstar840
winstar840 :
Ni kweli dada Mungu tu aingilie kati jamani mambo ni mengi azidi kutupa watu wa kutuelewesha kama wewe DADA RAHMA kwasababu mambo ni mengi kwenye ulimwengu wa nyama na roho
2025-01-28 13:47:46
21
mrslion46
mrs lion :
mimi nilitendwa tena nikiwa na mimba weeh rahma hujakuwepo nililia na kuongea nakiumbe kilicho tumboni mbona mpaka leo yeye na huyo mwanamke wake hazai yaani wanabadilisha hospitali kutafuta mtoto su
2025-01-28 14:52:58
49
thabitthabit226
Thabit Thabit :
Sema huyu dada huwa anaakili sana ata kama hoja huwa ainihusu napenda tu kusikiliza
2025-01-28 20:31:23
31
precioushappie180
🦋licious 🦋 :
me wang kamtoa mdada birka af kila alpokua akilala nae anammezesha p2😭 nlkuja kujua nnamimba ya miez 8 nililia sana nkaona nnam2 katiri na 2meachana
2025-01-28 21:45:11
12
user4768103998156
JESCA MALASA :
mm tangu nimeachika na nikainuka kiuchumi kweli afu yeye maisha ni magu sana mpaka ananitafuta tena kwahiyo hapo inakuaje dada msaada plees
2025-01-28 17:23:14
14
kaytlyn_89
🌺Olivia 🌺 777💕💕💕 :
waaahhh!!! I think am going through tht karma😭😭
2025-01-29 07:46:25
12
maimuna.muna67
Maimuna :
Naomba iende viral ifikishe viewers million zaidi ya mbili🙏🏾🫶🥰🥰
2025-01-28 22:08:05
27
user9229256529584
pretty vee :
na akapatwe na lolote baya kumaniner zake wakapauke mpk na uzao wao wote😏😏😏
2025-01-29 18:37:57
11
mumsey123
Venessah mumsey :
fact my dear siz...Mwanamume anakuzalisha na asishulike na watoto wake...na anaanza Maisha Yake na family nyengine.....ww unabaki kuteseka na watoto...yy Hana hata habari zenu....mungu azidi kuwatesa
2025-01-30 16:18:21
20
dollineroz
Rauxeey Dolly :
hao wanaume pia wajiombee. tuko na shida zetu pia
2025-01-29 20:10:16
31
lizzyb349
Blessed ❤️ :
Dada rahma unatugusaga wengi acha niongee kwa umoja WEWE NI HAZINA 🌹
2025-01-28 17:38:46
11
phiphychriss
Phiphy🦋💕 :
me nikikuskilizaga nakosaga cha kusema naanza tu kutafakari maisha yangu na kuyaombea sana.. Asee mwenyez MUNGU aturehem sana maana mambo ni mengi san
2025-01-29 14:04:35
9
bintmbuma1
Winnie 💙 :
daah 😭😭 nimelia sana kwakweli
2025-01-28 14:41:26
7
amina.ami81
aminaعبدالله ٩٩ami :
Mwaka 2017 mwanaume wangu alie nichunbia tu akapata ajali akafaliki nikaa my nikaa mwaka 1 nikaja kupata mwanachuo makumila aloo nili pigwa tukio kaka akawa anaitumia wawili mmoja ana soma mm s
2025-01-28 21:04:50
0
dada.zuu.bites.pi
dada zuu bites point :
natamani ningemtag mke mwenza asikie hii
2025-02-22 03:50:27
0
khadijaamur1
Khadija Amur :
😅😅😅 mnadanganyana tu. Hamna anayebeba dhambi za mwenziwe.
2025-02-17 07:22:47
0
userkpsof
KP SOFI 🦋🕸🦋 :
mii ndoman smpendii mwanaumee alietelekeza family au alie chezea wanawakee n kuaharibia maisha mn hua wana nuksii n mnashare bila ww kujua looh mhh
2025-02-08 08:55:35
2
aminaabedi
emmy2000 :
nisaidie dawa ya acidi tumboni nateseka sana da Rahm. tumbo linawaka moto Atari. vidonda tumbo sina 😭😭
2025-03-03 17:37:07
1
heri_ihojo
Heri🍒 :
yaaan Mtihan
2025-02-01 06:39:55
1
abbygael969
A🫧❤️🫶 :
Nilimwambia wangu haya maneno akasema kuwa yeye hakumtenda mwanamke yeyote Bali wote walikuwa wanacheat
2025-02-03 06:39:36
0
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About