yaarabb nakuomba kupitia Dua hii tukufu yaarabb nifunguelie Mambo yangu yote nilioomba kwakukuami ww ndio tegemez langu yaarabb niondoshee maradhi uchaw vifungo vyote yaarabb niondoshee
2025-01-29 06:42:23
138
khalty maryam💫🌹 :
yarab naomba hv ninavyojiixi kama Nina mimba iwe kwel yaallah
2025-01-30 20:08:19
73
Faah Collection🛍️ :
Ameen naomba unisaidie kizazi changu kiwe sawa inshaallah yaraab
2025-01-29 09:24:29
31
Mshangazi 002 :
Ameen thuma ameen 🤲🤲🤲
2025-02-02 09:00:06
6
Swalha247 :
Allah aniepushe mm na mwanangu na familia yangu na hasaad za waja na kila mwenye nia mbaya nasi🤲🤲🤲
2025-02-02 21:14:09
24
Nasrah 💞 :
ameen ya rabbi 🤲
2025-02-02 10:02:45
6
user156114891739 :
naomba Dua hii yarab npate ndoa uenye kheri na mm
2025-01-30 13:46:46
50
mrfixit225 :
allahumma aamin thumma aaamin
2025-01-31 06:47:01
5
fatty said :
jaman mwenzenu nomepiga miyayo mara mbili,na mpaka dua inaisha jicho la kulia lilikua linatoa mchozi,hii inamaana gani?msaada kwa anayejua
2025-01-29 07:24:32
20
Malyam Og :
km ninamikosi nuksi vifungo bc vyote vifunguke
2025-02-15 12:12:25
17
zaitunmomo :
Eeh Mungu nakuomba nifungulie milango ya riziki 🤲
2025-01-29 04:28:11
56
ashurahassan987 :
yaalabi nifungulie kizazi changu kwenye uzito nifanye kiwe chepesi yaalabi nifungulie mambo yng yote
2025-02-05 19:54:04
10
B@kili :
ya allah nijalie nipate ela na pia ela zang zikae na kam kuna watu wamechukua nyota bc kuanzia leo ing'ae amiin
2025-02-24 18:58:53
5
salmajay699 :
naomba Dua hii yarabbi nipate ndoa yenye kheri na mimi