Yan kuna huyo ex siwez kumsameh na sitokuja kumsameh yeye ni adui yangu namba moja duniani
2025-01-29 10:32:49
28
Mwajey Abdully :
mimi.ex wangu adi nilisha mchangia adi ela ya harusi😅adi saivi ananipigiaga cm naongea namke wake
2025-01-29 14:00:27
24
whatner👔 :
mi sinaga X maan yeyote nayeachana na mm Kuna siku ntamrudia tu
2025-01-29 15:28:42
5
Precious.collectiontz🦋 :
Cwez mchukia mtu nliwah kumpenda
2025-01-29 12:18:13
14
Yule boy G🔥 :
jamaa shoga skuiz uyu
2025-01-29 14:16:13
2
Msabato Ze Son :
Mimi atabaki adui yangu until my last breath kitu naweza muambia tu ni kuwa sitokuja kumlipiza chochote kibaya Aishi tu kwa amani! ila she is my enemy!
2025-01-29 13:58:39
7
🍓PMG😉 :
na mkiona bdo mnauadui ujue bado mnatakana nyie mtu akimove on hamuwez kuweka chuki 💯
2025-01-30 11:34:48
10
coolextkid :
Perfect opinion 💯🙌
2025-03-16 09:45:45
1
665242llene samwely :
ww tena kipuli ohoooo nandi Huna mume humu
2025-01-30 05:52:28
4
Ballopixel :
uadui hapana lkn urafik na ex pia hapa huo n umalaya
2025-01-30 11:17:14
4
Blanc De Noir :
Bilnass bado anapiga mechi za njee
2025-01-30 09:42:59
1
zulpha idrissa :
kipin cha nini tena
2025-01-30 16:51:58
2
mwana :
inategemea tuliachana vipi wee kaka kipini
2025-01-29 15:42:18
5
mrs mahenge💞💞 :
nand mwangalie mmeo amevaa heren puan jaman
2025-01-30 18:33:42
1
zuzu nunu :
towa kipini utakuja kuolea
2025-01-30 09:52:24
2
nova_outfit :
interview za uyu jamaa hua napenda sana kuziangalia sana
2025-01-29 19:42:16
1
samiri sahili :
yahn ex wangu kama bad tunaongea nakutaka ila kivyovyote vitaaa
2025-01-29 18:50:48
1
Brenda ♂️💰🫀 :
sa kipini Cha nini jmn uwiii mbna nandy hana nakupenda ila kwenye kipini matako wewe
2025-01-29 15:59:02
1
msafiriramadhan4 :
kipin mzee toa...!!!
2025-03-19 20:37:46
0
tifaa :
mh kaka umeaza ereni saiz mpka kipni umetish kaka
2025-03-22 07:52:46
0
Miriam Mshana :
🙆♀️🙆♀️😳 na wewe umeanza kuvaa kipini jmn🙌🏿 shemeji uko akukufai kbs🙆♀️
2025-04-03 06:03:52
0
vitu vingi 👑 :
ninachojua mm ex ni adui
2025-01-31 08:56:56
0
To see more videos from user @myreplyshow, please go to the Tikwm
homepage.