@lishe360: Hujui umpikie nini mtoto leo? Haya chukua huu msosi mtamu wa chap chap⚡️ Tambi zimenogeshwa kwa maziwa na grow mix nut butter Mpikie mtoto leo utanishukuru baadae😋 Nut butter zinapatikana kwa mawakala wetu wote sasa.

lishe360| Darasa la lishe bora
lishe360| Darasa la lishe bora
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 January 2025 11:18:55 GMT
945027
14847
309
2574

Music

Download

Comments

adwoaadepa9349
Auntysarah934😘🥰🥰 :
Please let’s see how you feed the child with this food first
2025-02-01 07:09:01
11
jilala102
rose :
mimi mtoto wangu Hali chakula chakublend nishajarb mara Tano Yan Hali kabisa
2025-01-30 07:02:39
7
lishe360
lishe360| Darasa la lishe bora :
Grow Mix Nut Butter zinapatikana kwa mawakala wetu wote sasa.
2025-01-29 14:14:55
5
jennymbowe88gmail
[email protected] :
hiyoo kwenye copo ni Nini dear?? nipo arush napata wapi na shingap
2026-05-26 04:46:56
1
user7520762184729
Reeny :
growmix jaman nimenzunguka maduka yote amna
2025-08-05 06:46:04
2
user2519008850296
mariam kamtoi :
anakula mtoto wamwezi mingapi
2025-04-14 16:43:55
1
tinnah996
Tinnah :
maziwa ya ng'ombe au
2026-02-03 15:12:59
1
suzan.deus
Suzan Deus :
nipo zanzibar wakala please
2025-07-30 11:08:39
1
gee_officially
gee :
nipo Dodoma naomba namba ya wakala wenu
2026-03-24 13:47:00
1
123456789p370
123456789 :
grow mix wakala iringa
2025-07-23 04:48:40
1
lucieasenga3
Lucya❣️ :
Nipo buza wakala naitj grow mix
2025-07-31 16:03:19
1
user280086061531
Jacque🌸 :
mtoto wa miez kumi naeza kumpikia hichi chakula?
2026-01-05 11:53:35
1
user27961653004571
Liliyn Ezekiel 💞✌️ :
viatu
2025-09-08 13:07:05
1
habibei01
Habibei :
iyo kwny kikopo ni karanga ya kusaga
2026-01-06 06:33:11
1
user3479850148467
Jescar😘 :
ay ni maziwa y ng'ombe au?
2025-06-25 03:04:01
1
mrs.calvin01
Rose❤️💐 :
moshi kilimanjaro napataje
2025-03-21 14:33:34
1
jujuus.drama
Jujuus drama :
sasa hiyo meal ni kwa mtoto wa umri upi mamii?
2025-07-25 17:32:28
1
lovery_zeylish
zey :
wakala kongowe
2025-04-15 14:26:19
1
eestertimothy
Eester Timothy :
Asante kipenzi mwanangu amekula mpaka basi 🥰🥰
2025-06-20 10:35:34
1
ms.meme181
ms.Meme :
Hayo ni maziwa ya ng’ombe
2025-04-27 06:17:52
1
pilly.salum
pilly salum :
mtoto wangu ana mwaka atak chakula kingine ni uji tu
2025-09-10 21:16:15
1
latybellah
Ma Farshad :
grow mix babati unapata wapi
2025-08-11 06:58:09
2
diana.favour8
Diana favour :
nipo Dodoma nitapataje??
2025-08-28 09:45:17
1
mbowemomah
maria🍓🍓 :
nitapata wap grow mix nipo madalee
2025-08-05 13:00:45
1
mariam.milambo
mariam milambo :
tumeanza na ngano tena wafunge kunya😂😂😂
2025-01-30 11:26:15
2
To see more videos from user @lishe360, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About