Mimi nina kuku500 aina ya croiler na sasso je naomba kujua naweza nikapata mayai mangapi kwa siku na utagaji wao utadumu kwa muda gani mfululizo?Hao ni majike tu500 nimewaweka na majogoo30
2025-03-20 13:26:13
2
Anderson private :
dawa ya kuku kula mayai
2025-02-06 14:54:03
1
Mohammed Kasim :
mm nimega lakini nimeshindwa
2025-05-09 14:25:08
1
eliyaa93379452778472 :
mbeg nzurii
2025-03-14 16:12:02
1
edwigashayo998 :
nini kinapelekea kuku kutokwa na damu mara tu wanapotaga?
2025-04-19 09:05:49
1
Los Angeles :
kuku miatano wakianza kutaga hula mifuko mingapi ya chakula Kwa wiki yenye kg50
2025-03-07 13:28:04
1
Ibrahimu Tembo :
idadiyakukuni18jemayaimanga pi
2026-06-20 19:58:11
1
bab salu :
naitaji kufunga kuku wa mayai
2025-02-17 04:49:02
1
Gee :
ukipata mayai 450 we mchawi 😃 nimekaa palee
2025-02-02 06:25:18
1
over :
mtaji ni bei gani kwa kuku 100 mpaka kutaga
2025-03-16 20:57:26
0
pichez Don :
nina kuku 1480 nahitaji kupata mayai ngapi
2025-02-11 10:54:41
1
chau :
nataka kujua kuku 500 mpaka wafikie kutaga unaweza tumia chakula kias gani na dawa zake
2025-02-07 07:23:07
0
James Adaa :
naomba mkujua mbegu nzuri
2025-02-01 16:47:50
1
charle kuku frm :
kuku 150 je
2025-02-02 17:31:57
1
Don_David23 :
kati ya hyline na bovan brown ipi ni mbegu nzuri zaidi?
2025-02-02 16:41:31
1
Elvidaupendo Mshana :
naomba ushauri juu ya kuku wazuri au aina gani ya kuku nifuge ili nipate faida kama biashara chipukizi
2025-02-07 08:20:12
1
aliyebarikiwa :
mimi nna kuku 200 isa brown layers
2025-02-06 14:40:00
1
mambuo20 :
kuku 100 chotara naweza pata mayai kiasi gani kwa siku
2025-02-10 19:13:06
1
AGALUS TV :
6
2026-06-21 14:33:16
0
Kidotingogomba :
kuku 300 je😂
2025-02-03 09:28:19
1
calipsonjustine6 :
👏👏👏
2025-04-01 09:15:09
1
ann :
😂
2025-02-08 09:05:35
1
Juma Kidada :
@🥰🥰🥰🥰
2025-03-20 11:36:23
1
Abdulkarimu Mbwambo :
😂😂😂
2025-02-01 18:01:20
2
SAMSONI MSOFFE :
❤❤❤
2025-02-02 15:42:53
1
To see more videos from user @agalusfarm, please go to the Tikwm
homepage.