masheikh wetu wangekua kam huyu duktuur hekima yake katika elimu ni kubwa sana
2025-01-30 21:21:47
61
Mr Smith Smith :
Mi ntamfuata,sababu haitoharibu sala,na asipoleta pia ntamfuata,,
2025-01-31 04:42:23
20
Fimbo Hamisi :
yani huy shekh ni wakipekee kabisa anaelimisha kielimu alhamdulillah allah akuongoze katika heri hakika ww ndie unae faa kufundisha umma maana hii ndio elimu ya wanachuoni nakupend kwa ajili ya allah
2025-01-31 06:44:54
10
Abu muhamad :
Alh Akuhifafhi shekh wangu Akujalie juhudi zako ziwe katika mizan ya mema yako na Atukutanishe sote kwenye pepo yake
2025-01-31 11:23:40
8
athmanmohamed849 :
atlist umefungua mlango wa elmi. kuelezea hizo hadithi zote na usahii wake ili tuache kuzozana. Sasa mtu ashike anapotaka. shukran sana sheikh
2025-01-31 13:58:17
16
bb farhan :
uadilifu katika daawa ni nyenzo muhimu ktk ufikishaji mashallah
2025-01-30 17:27:16
15
Nadhiifu Suleyman :
Mwalimu/Sheikh una hekima sana tena sana !! Alhamdu lillahi.
2025-01-31 08:44:58
13
To see more videos from user @videozakiislamu, please go to the Tikwm
homepage.