@bsax___: 📍IKULU-STATE HOUSE DAR ES SALAAM🇹🇿 “Africa heads of state energy summit🎷” >>Ni heshima kubwa sana kuwa sehemu ya tukio hili la ki historia lililo husisha maraisi wa nchi mbalimbali kutoka bara la africa🌍 pamoja na viongozi wa juu wa nchi yetu, wakiongozwa na raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA @samia_suluhu_hassan Shukrani zangu za dhati ziende kwa raisi wangu na mama yangu @samia_suluhu_hassan kwa kuniamini na kuwa sehemu ya tukio hili kubwa, MUNGU akubariki sana🙏🏾 “1 Samweli 2:8-Humpandisha JUU na kumketisha pamoja na WAKUU👑” . . . @dr_philip_isdor_mpango @kassim_m_majaliwa @tulia.ackson @jakayakikwete @ikulu_mawasiliano . . . #saxophone #saxophonist #viral #bsax🎷 #trending #ikulumawasiliano #africaenergysummit2025 #samiasuluhuhassan🇹🇿 #creatorsearchinsights . . . 📹@dj_sweetlady

DR MARO🇹🇿
DR MARO🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 January 2025 04:16:10 GMT
12171
735
38
11

Music

Download

Comments

patlantoh
owlman :
genius always genius
2025-01-31 14:59:34
4
jeanjunior9025
Jean Junior :
so good
2025-09-12 17:49:00
1
naomi.alfred4
Naomi Alfred :
hongera sana
2025-06-02 06:19:16
1
preezy.da.mercy
Preezy Da Mercy :
kk appreciate sanaaaa
2025-07-03 14:35:59
1
saitahgerald
💞🦋MOM G🦋💋💞 :
Hii ndio maana ya kipawa ni kitu cha thamani kila kigeukapo ufanikisha 🥰🥰
2025-10-20 14:34:54
1
hawa_ommy3
Hawa_ommy :
kaka sichoki kutazama tu mbaka na enjoy tu
2025-10-19 21:24:10
1
diabjr6
diabjr :
Safi
2025-07-29 15:14:05
1
maimuna9989
maimuna :
waooow umeweza na hakuna wa kukufikia kaka
2025-08-16 21:08:22
1
rebeccauser30914217
rebecca :
bro
2025-03-20 01:07:32
2
rajabadamchampion
rajab champion TZ🇹🇿 :
anajitaidi kijana
2025-07-03 09:48:27
1
djerick255
professional Dj Erick :
daaaah safii sanaa mzee
2025-01-31 12:06:01
2
meddy_meno
meddy_meno :
Me siongei mzee 😎
2025-02-01 22:20:31
2
user905248287719
maombi qut :
nimekupenda bule
2025-06-05 09:59:05
0
chituabeauty28
chitua Beauty@ :
love it🥰
2025-06-02 16:18:54
0
godfreymailes
GODFREY :
dah wewe nihatali jah unaupepo ba💯,unasababisha na kuburudisha dah 🥺🥺pia kuhuzisha.
2025-06-04 21:20:52
0
maimuna9989
maimuna :
❤️
2025-08-16 13:55:12
1
hailantz
Hailan Tz :
🔥
2025-08-11 13:50:58
1
wakilo8
wakilo_009 :
🔥🔥🔥
2025-01-31 06:38:24
2
kingmoney651
Joel king mny :
😍😍😍
2025-02-06 03:53:32
2
donline06
BDOMLINE AUTO PARTS :
💯
2025-06-01 17:55:07
1
maulethy2
Maulethy :
hongera, hongera kaka
2025-06-04 21:20:47
1
shedracksheriatz
APST SHEDRACK SHERIATZ :
Good
2025-01-31 09:55:02
2
rogersmartin3297
Rogers Martin :
mwanangu unajua sana 🙃
2025-01-31 10:19:53
2
rivalboy03
Patrick Mbogo :
👏👏👏
2025-08-23 09:38:48
1
user8084152006971
julius festo1234 :
uwekewe ulinzi dah ww ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-07-03 10:01:26
1
slave.yusef8
slave Yusef :
💕
2025-12-21 08:47:20
0
To see more videos from user @bsax___, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About