@malkiafoods: Unapikaje Kibambala chako? this is my way and huyu samaki ni mtaaaaamu.eeiih! pika na wewe uenjoy. #Malkiafoods #viral

Malkia Foods
Malkia Foods
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 January 2025 08:44:11 GMT
559682
12523
326
482

Music

Download

Comments

plasticgrooves
Orbit Grooves 🪩 :
Obambla ndio mnaita kibambala 😁😂
2025-02-01 03:35:23
60
kanali52
Gideon :
Hii video nimefoward kwa mke wangu
2025-02-02 10:01:31
36
dianah.magabira
@Anindo :
si useme tu eshibambala once 😂
2025-01-31 19:48:50
40
zaitunimussa2
zaitunimussa2 :
Mlenda wa naz😅😅
2025-02-01 04:15:52
5
manki.mank
vaileth mollel :
si MUNGU ALIYE HAI AZIDI KUKUBARIKI TU❤❤❤
2025-01-31 17:55:36
43
scorpio11baby
Ms Gee❤🥀 :
shivambala were😂😂😂
2025-02-01 14:33:16
3
fluffiest_bear
fluffiest_bear :
kumbe hawa wanaliwa na watu
2025-01-31 13:56:56
9
sweetzebu
💕Ukhty Zay 💕 :
hapo ule na ugali aseeee sio shida zako🤣🤣
2025-01-31 12:08:25
7
bintisaidy1
binti saidy :
kwa dar kibambala kinapatikana wapi?
2025-03-16 09:56:32
1
aliceamasi0
Alice 🧚🏻‍♀️ :
Siku nimenunua hii kitu for the first time ili nijaribu nikakuta anawadudu🥹🥹 toka siku hiyo sina hamu nao🙌🏻🙌🏻
2025-01-31 14:27:51
2
mkoko078
Mkoko :
Mbona ujawaambia vibambala uwa vina mchanga so waviloeke kwa maji moto ndo wapike
2025-01-31 12:27:38
1
sarah.oduor6
Sarah Oduor :
uyo ni obambla jamani aaaaiiii
2025-02-01 09:56:46
1
user5950800940612
Abby :
nlikuwa nawapenda balaa siku nkanunua ile nachemsha c naona ma finyoooo weeee sjarudia tenaaa☺️
2025-02-01 05:27:20
5
msremen
Anna ᥫ᭡🌸 :
Mpishi wetu mrembo🤩🤩. Karangi kazuri🥰🥰
2025-01-31 09:42:09
24
nyakundijob671
nyakundijob671 :
shimbala ndio unaita kipambala wewe
2025-02-02 01:33:02
0
yvonn707
yvonn707 :
nataman nkae na wy week tu ntajua mengi 🔥nafatilia sana
2025-01-31 09:11:01
7
allensilayo
I am Lee💥 :
Mke wangu njoo huku! Nmechoka kula mbao zile
2025-02-01 09:10:46
1
iminza05
LITTLE ACE CLOSET 👚🩳 :
😂😂 Luo and luhyas ndio wako comment section😂mumechemka
2025-02-06 06:59:55
2
amayrah_07
amayra :
jmn hawa samaki si wanaharufu jmn au mimi ndo sielewi
2025-03-29 16:20:17
1
toughfish3
ToughFish :
Luo call it "Obambla" . We don't add lemon . But we do boil it untill the soup is like milk
2025-02-01 08:32:14
3
malkiamyraa
Myra🥀 :
Mara ya kwanza naangalia tuu ngozi yako imebid nirudie kuangalia mapishi 😅
2025-03-24 13:15:20
1
momov375
Momove💞 :
Na sipendi samaki km hawa jmn
2025-02-13 17:43:25
1
zeina_yahaya
JAYDEN MOMMY🥰 :
hao samaki watamu na ubwabwa jamani👌
2025-01-31 15:07:48
3
rosedaud819
retinol 6565 :
katangawizi ulisahau mwanzo kuondoa shombo , mmh taam nazi ni mo 1
2025-02-04 19:22:04
0
neemalmwalyego
EDIBLE CATERING 👨🏻‍🍳🇹🇿 :
Mamii hiyo nazi unaitunzaje? Kwenye fliji or fliza?
2025-01-31 09:34:54
0
To see more videos from user @malkiafoods, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About