@makaranga_mzigua: UJUMBE KWA WEMA SEPETU NA WALE OTE WENYE TATIZO KAMA LA WEMA@mwema_sefu @official wema sepetu #wemasepetu #wemasepetu #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktokur_algrien_maroc_tunisie🇲🇦🇩🇿🇹🇳 #tktoksomali2024🇸🇴🇸🇴💪💪💝💖❤️‍🔥💌✊️ #tktoktanzania🇹🇿

makaranga_mzigua
makaranga_mzigua
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 January 2025 12:07:25 GMT
56066
1484
164
238

Music

Download

Comments

sharifasembe1
Da Shery :
Mubini ninini?
2025-02-01 09:36:10
2
mima15959
mima :
liked your viedo
2025-02-01 13:28:39
2
ringding.....2
RingDing@254 :
SubhaanAllah
2025-02-10 10:08:52
0
said.mwamjua
Said Mwamjua :
w.s
2025-02-08 12:59:56
0
glaudymassop
Glaudy Massop :
lkn ni vizuri ungemsistizia akishamaliza kufanyiwa hii dawa asilale na mwanaume Ambae hajafunga nae ndoa maana anasomewa dua Sasa akienda kuzini ili apate mtoto sidhani kama itakuwa sawa
2025-02-01 11:22:23
11
user2980398101294
ram :
mmhh hapo unataka utafutwe upewe pesa hayo maziwa ya ng'ombe dume utapata wapi🤣
2025-01-31 17:42:38
1
cassimoalifoalifo
cassimo alifo :
unapatikana wapy kaka ny nawomba namba yako mimi nipo mozambique
2025-02-16 04:52:44
0
ameshally
Ameshally :
Na izo nywele vp 😂😂😂
2025-02-02 14:08:38
3
user2980398101294
ram :
sasa yai bichi linatoboka kwa sindano kweli?
2025-02-02 06:00:04
3
hassanhusseinkaty
Hassan Hussein Katyentye :
HUYU WAKUSOMA DUA KWELI NA MIRASTA NA MICHEN EBU ACHENI MASIKHARA NA QURAN KWA KUDANGANYA WATU😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-02-03 16:05:49
1
zuliciou
Baby face 🇴🇲 :
Hana ndoa sasa atapata mimba ya kuzini sasa
2025-02-14 10:47:54
0
husseinofficial21
It'Z Fêisal Hûssein✓🇰🇪 :
Mimi chenye najuwa ni kwamba kila siku usiku wa Alhamisi kuanzia Saa nane mpaka saa tisa usiku wakati kila mtu amelala Kabisa, unachukuwa Udhuu yako vizuri unaswali tu Rakaa mbili.
2025-02-08 06:32:57
1
hanifabby27
hanifa abby :
nitajaribu maana mm nishazaa kupata wa pili imekuwa ndoto
2025-02-03 13:42:50
1
user9663571267670
user9663571267670 :
asalaam alaykum naomba nikuulize uko wapi tukufate mm Niko zanzibar
2025-02-04 05:33:38
0
salimu.kwanza
Salimu Kwanza :
wanawadodo wengila ndaaa mweshuleee munooo
2025-02-02 11:20:27
1
ramadhanwasaga
wasaga :
doctor vp kwa aliyefunga uzazi
2025-02-01 20:20:34
1
zamzam.kilove
Zamzam Kilove :
haijaisha mayai yaliwa yote 7 alafu sindano zinatupwa au
2025-02-01 13:32:55
1
2kim_nanaa
@Queeny* :
kwahio hayo Mayai ayachemshe
2025-02-01 08:45:39
1
khamismajlo
khamisMajlo :
iyo mubin nd nn dokta
2025-02-01 08:16:17
1
user2980398101294
ram :
sasa kama mayai yaliisha alitoa mimba sana hakurogwa wala hakufungwa itakuaje?
2025-01-31 17:37:12
1
waiyaaljabri
waiyaaljabri :
Hajaolewa bado akishaolewa tu atazaa tu
2025-02-02 01:19:34
0
mr_pinch
pinch :
Suratul MARIAM mbona hukuitaja na ndio kichwa cha matatizo hayo
2025-02-01 18:13:24
3
user7446500218849
Eddy King :
Uko sawa mzee iyoimeenda
2025-02-02 15:28:00
2
user784296363
pronto..📞 :
analia hana mtoto kwani ashailewa kwa ndowa ya nikaha kiislamu??
2025-02-02 12:43:57
2
user7024284516129
Aljawahil :
Usemaji wako tuu unanipa mashaka ni tp
2025-02-08 08:41:46
1
To see more videos from user @makaranga_mzigua, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About