@foodloverstz: Wapenzi, Ile recipe yetu imefika. Mlichagua jmosi na jmosi ndio leo natumai majiko yatachekelea jioni. Masala Sauce pamoja na bidhaa zetu zote mnazipata. Wasiliana na wakala alie karibu nawe kuipata; Dar-es-salaam ✔ Tabata-Posta 0718595509 ✔ Ilala -Amana 0620102207 ✔ Sinza - White Inn 0748596805 ✔ Makuti Mbezi - 0655 507 516 ✔ Kigamboni Ferry - 0753 686713 Arusha ✔ @happymart_tz 0719837908 ( Njiro temdo ) Mbeya ✔ Veta ~ Ikulu 0769887867 Zanzibar ✔ Stone town 0748596805 Dodoma ✔ Meriwa Center-Saigano 0743942783 ✔ Barabara ya Sido - 0784824009 ✔ Capital City Mall, Engen 0713 823 682 Mwanza ✔ Double H supermarket ( Nyegezi Tema ) 📲 0672 164 953 kupata delivery. ✔ Barabara ya uhuru 0693968274 ....Mandela Min-supermarket _ Kwa wapemba ✔ food plus supermarket 0765386192 Uhuru street, Vizano. ✔ Protas Supermarket ( Mirongo-Thaqaafa ) ✔ Protas Supermarket ( Samaki-Makoroboi ) ✔ Yunni Supermarket ( Natta ) ✔ Ilemela ~ Kiseke 0757581882 📌 Mikoa mingine yote unatumiwa bila tatizo, wasiliana na wakala alie mkoa wa karibu na wewe. Kupata Uwakala mkoani kwako wasiliana nasi 📲 0717717836
foodlovers.tz
Region: TZ
Saturday 01 February 2025 09:27:50 GMT
Music
Download
Comments
mtu wa chochote kitu :
hello food lovers naomba nionje yai au utamu guarantee😳
2025-02-01 14:50:30
1
m :
Yummy😋🌹
2025-02-02 02:38:42
0
phinah🌹 :
smarter 🥰
2025-02-01 18:33:25
0
user9140814408777 :
Amaizing dear🥰🥰🥰
2025-02-02 04:40:12
0
Rahmatullah🦋✨ :
Thanks for the new recipe🥰
2025-02-02 06:08:28
0
sweet _lorah :
unamjua food lovers wewee😂👌
2025-02-01 11:12:15
0
user6208053379246 :
ni tam Bala 🥰🥰
2025-02-01 15:13:31
0
Zaynab Zaynab :
Mashaa Allah
2025-02-01 10:03:36
0
mwasi :
utamu guarantee 😄
2025-02-01 11:35:01
0
Raythan ☪️ :
nzur sabb hujawek mafuta mengi mashaaallah
2025-02-01 16:49:03
2
Ysha💃 :
Iyo masala ya wali bei gn
2025-02-02 07:16:00
0
Boss_lady :
tell me the reason ya kueka limau kwa mayai plz
2025-02-01 19:37:55
3
catherine :
kuangalia raha pika ww sasa uwiiii😁😁
2025-02-01 11:23:53
86
Bbyraa🌸 :
Ivi kwnn mayai unachemshia na lemon 🍋 ??
2025-02-01 09:48:52
27
unique_smiller🦋 :
dada msafi huyu😋😋
2025-02-01 09:35:56
39
lyamuylucy :
hapo kwenye Mayai mpaka huo wal ukauke niyaweke nitaambulia wal na viaz aloniloga na Mayai mbingun namuongezea kun
2025-02-01 11:53:51
18
Mariah❤️ :
Ngoja niendee nikachukuee viungo kisekee miee
2025-02-01 11:10:11
10
Queen Of Him :
tunavyobembelezwa sasa🥰
2025-02-01 12:57:01
10
🦋Boss lucy🌺🦋 :
wali unaonekana mtamu sana 😋🥂
2025-02-01 14:04:20
9
hynesssimon2 :
Leo wa kwanza ❤️
2025-02-01 09:34:27
3
@Ilham255🦋 :
iyo ndimu sijui limao inasaidia nn kwenye kuchemsha mayai
2025-02-01 14:03:48
2
victoria :
mamy sosi shingapi naitaji niko ubungo
2025-02-01 10:39:46
2
sarahzily4 :
kwann mayai unayachemshia limao
2025-02-01 13:00:25
3
d.a.y.a.n.a.exaud :
ivi mnawezaj kupika wali bila kupima maji jaman... yan mm lazma nipime maji nisipopima kimenirambaa🥺
2025-02-01 13:38:42
0
PELINA 💝 :
TAKO LANGU LINAWASHA NAOMBENI DAWA JAMANI 🥺💔
2025-02-02 05:18:24
0
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm
homepage.