@mapishi_and_more: Ramadhani Spesho 2025 (maelezo kwa KISWAHILI) Tunakueletea mfululizo wa mapishi mbalimbali kwa ajili ya mwezi wa Ramadan 2025: Leo ni Skonzi Mahitaji ni haya👇🏾 Unga vikombe 4 Maziwa ya uvuguvugu 200ml Maji ya uvuguvugu 100ml Yai 1 Hamira nusu kidonge au ya chenga kijiko kikubwa 1 na 1/4 Sukari vijiko vikibwa 3 Chumvi kijiko kidogo 1 Mafuta ya kupikia kijiko kikubwa 1 Moto oven 170c Choma kwa dakika 20

Mapishi & more
Mapishi & more
Open In TikTok:
Region: DE
Saturday 01 February 2025 10:14:14 GMT
92325
2382
39
710

Music

Download

Comments

shuraj024
ShuRaj024 :
Tufungulie saving plzzzz
2025-02-02 13:22:42
0
peacemaker_124
Anne the warrior🇰🇪🇬🇧 :
What’s hamila
2025-02-02 20:40:49
1
kauthar.fatma
kauthar fatma :
nice
2025-02-02 14:46:16
1
elsieneema
swin :
nice
2025-02-01 22:56:58
2
munraty
m🤲🥰 :
nakupenda dada nimejua kupka mandz mazur kwajr yako😍
2025-02-02 06:30:15
3
sallyofficial37
user9663129743983 :
hapo kwenye kuoka kwenye oven dada umetumia moto wa juu na chin au
2025-02-02 07:03:59
2
a.r.m.a.m_54
A.R.M.A.M🕋💕 :
nice wow mashaa allah
2025-02-02 10:10:19
1
user2209426600076
zainabu matanza :
mashaallah nzuri
2025-02-02 05:41:42
2
cutesabbyy
sabby :
Nitajaribu hii
2025-02-02 00:51:36
2
amina.juma463
aminajuma304 :
Mashaallah
2025-02-02 18:31:49
1
ashelma_01
user5657022758053 :
MashaaAllah shukran
2025-02-02 18:11:16
1
salama.khan40
@Salama khan :
amiin in shaa Allah
2025-02-02 17:53:39
1
fatumarajabu05
fatumarajabu655 :
Tufunguulie tusev kwaajil ya ramadhan
2025-02-02 12:41:31
1
nurathy.sally
Nurathy sally :
nimeshindwa kusevu ntapikaj miheeee🤩
2025-02-02 17:56:30
0
tinah0093
tinah :
wew dada mchoyo sana unaona tukisave video zako utapungukiwa nin☹️☹️😏
2025-02-02 13:16:33
0
mwanamaine
mwanamaine :
Aamin
2025-02-02 12:34:30
0
user8069887581748mariam
english :
Amin insha'Allah
2025-02-02 12:16:32
0
saidaawadh5
Saida :
😋😋😋
2025-02-02 21:14:47
1
rahmaahmed22750
Rahma Ahmed22750 :
🥰🥰🥰
2025-02-02 20:04:22
1
shilla191
Munnybby Shariff :
🥰🥰
2025-02-02 19:10:12
1
To see more videos from user @mapishi_and_more, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About