@nomakatembo1: SHABIKI LA MAN UNITED 💔😂 w/ @mr johnson #nomakatembo #funny #fpyシ #tiktoknigeria🇳🇬 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokswahili

Katembo
Katembo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 February 2025 08:02:41 GMT
3590923
189364
2308
8205

Music

Download

Comments

ernestsangula
mr sangula99 :
team katembo apa kwa like🤣🤣🤣
2025-02-02 08:09:54
861
k.i.p.l.a.g.a.t
..Guide..Elvis.🚩 :
content moja change sasa imeboo....ama tutakudungunyweti😂😂💔
2025-02-02 08:23:42
18
emizzotz1
Mcongo mani OG 🇨🇩 :
wanao mkubali huyu mwamba gonga like hp😁
2025-02-02 08:52:22
659
user3922513385880
kartelo :
kama umeshikilia simu na mkono moja weka
2025-02-02 18:00:07
209
bosslady2555
Boss Lady :
Unajiromantikisha 🤣
2025-02-02 08:59:42
36
magerani12
mr johnson :
Mim kuna siku niacheni na uyu m2 nimuue
2025-02-02 08:06:45
74
janeth_mithy
Janeth :
Huwa napataga hasira comments zikichelewa kufunguka
2025-02-06 06:15:15
39
gstar255clasic
user33830422035 :
WANAKUDUNGUNYUA😂😂😂 TWENDE SAWA
2025-02-03 21:12:43
15
black7578403061900
Faidhaty :
wankudungunyua ety kubababko ntakuja nkufyong fyonge nkuuue jonson kuanzia leo sikujui jina , 😂😂😂😂😂😂like hapa kam unaukubl huu msemo
2025-02-03 13:58:26
13
news_alert_k.3nya
NEWS ALERT 254 :
nimehurumia hapo😂"bahati yako sijaikukuona" karibu alie😂💔
2025-02-04 12:05:13
6
dupper_official18
Jamal🤟🏻 :
Amiii huyo so mtu mzuri😂 amiiii🙌🏼
2025-02-02 08:29:57
5
mlay0683
mlay0683 :
kuwa makini na huyo johnsoni atakukula kweli shauri yako
2025-02-03 06:39:56
8
muhajrashid
Muhaj Rashid :
kwanza Johnson sikujui jina🤣🤣🤣
2025-02-20 11:11:51
6
rechoric
recho richard :
lbda kakuona uko singo kaona akuchangamshe uoni unaongea unataka kulia😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-02-03 20:44:23
5
salumulaphael
Salumu Laphael :
sikujui jina sijawai kukuona
2025-02-02 21:26:25
5
sanifa.shemaeze
sanifa Abdallahaman :
katembo sikujui jina
2025-02-02 19:55:33
6
ri_ttie
🕷️ :
antaka kum romantikisha😂😂😂...oooh my sheilaaa
2025-02-04 18:57:44
19
a7777dm3
dm3 :
anakupigia hesab
2025-02-03 15:45:24
5
kanonko99
KANONKO :
Kuna restaurant moja nilikuwa naenda kula mara kwa mara sasa kulikuwa na demu apo restaurant namuelwaewa kinoma yani Kuna siku nikaamua kuwa leo wanavofunga tu naondoka naye🤣🤣 sas nikaagiza msosi na kinywaj nikawa nashushia mdogo mdogo huku nasubili wafunge niondoke nae🤣🤣kumbe masikini ya mungu na wao wananisubili mimi niondoke ndo wafunge tuliganda apo ad saa6 uck mpk mlizi akaja kunambia bro muda wa kazi umeisha tunataka kufunga🤣🤣🤣 MNIFOLLW
2026-08-23 18:36:06
1
shibaa085
Sayed :
Content zengine sijui muna chekesha ama kuna vitu muna jaribu kuvieka vionekane vya kawaida wakati ni dhambi sasa hii mwaonesha nini vijana chipukizi
2025-02-27 05:54:08
0
user8632207209887
Christina💖💞🌹 :
🤣🤣🤣🤣🤣walio ludi mara2 hii video tujuane
2025-02-24 00:22:39
3
ally.khan269
KHAN Ally :
Johnson anazingua sana😂
2025-02-02 16:59:02
2
daudymathayo
DAUDI TZ 🇹🇿 :
jonsoni nitakudungunyua 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-02-06 20:05:43
2
chuselv
CHUSE LV :
hahhaha anakuchukulia zuchu nin 🤣🤣🤣🤣🤣...bro roho imekuum kukutaman 🤣🤣
2025-02-05 06:30:18
4
mamy_mimi4
mamy_mimi4 :
Anakupigia mahesabu😂🤣
2025-02-09 20:50:14
3
To see more videos from user @nomakatembo1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About