@dr.fathy.saidi: Unasumbuliwa na Pesa, upewi pesa auna kauli ya Kuomba na kupewa pesa basi weka KARAFU chini ya uli wako utapewa pesa unayo itaji, #fathysaidi #tiktok#clove #cloveswater #clovesbenefit #spells #spell #clovespell #uk #uktiktok #americ #american #usa_tiktok #usa🇺🇸 #usatiktok #usatiktok🇺🇸 #tiktokusa #tiktokuk #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #canada_life🇨🇦 #canadatiktok #canadatiktok #canadalife #canadaday #canadatiktok #tiktokcanada #tiktokcanada #australia #australia #australiatiktok #tiktoksustralia🇦🇺 #fathysaidi #europa #europa #africa #east #west #north #south #southafrica #southafricatiktok #southafricatiktok🇿🇦 #tanzaniatiktok #tanzania #Tanza#Kenya#kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #tiktokkenya🇰🇪 #money #moneyspell #spellformoney #moneytips #moneymindset #pesa #franga
dr.fathy.saidi +27788529989
Region: ZA
Sunday 02 February 2025 14:08:06 GMT
Music
Download
Comments
mwana kida :
kwahali ngumu yasasa, unae taks kumuomba nae kaweka karafuu chini,
2025-02-02 16:09:42
1059
wahu :
na huyu mwenye naomba pia akiwa na karafuu nani atapea mwingine
2025-02-02 17:00:16
841
Julius Uronu :
We dada we, usinifanye nikaenda kununua kisado cha karafuu🤣🤣🤣🤣
2025-02-03 16:29:04
321
yasmeen :
ngojea niweke nikaombe mme wangu maana Toka last week hanielewei asiponipa naja report hii account sitaki ujinga
2025-02-03 11:20:24
51
cute Rai :
Mara papu!Unae taka kumuomba naye kaweka karafu🤣😂🤣😂🤣
2025-02-05 09:37:57
161
saidsa💐💞 :
acha nieke nipigie ruto anipee pesa
2025-02-03 10:51:57
10
Ivy 💞 :
Hii TikTok Kila mtu amekua mganga kivyake 😂😂😂😂
2025-02-16 20:19:21
143
Mama Belle :
sisi huku kenya karafu haipatikani dada
2025-02-02 18:03:01
12
Munnie💜🍭 :
yaan ukisoma comment tu iman inapotea ilaa watu🤣🤣
2025-02-17 12:21:22
13
hawa_collection :
Karafu na mchene na sarafu mi ndo natumia napata wateja napata kipato asahv nilikuwana mtaji wa laki tatu asahi ninamtaji wa milioni mbili
2025-02-19 09:19:19
47
@idrissa 👑 :
ukiwafata wanganga wa TikTok unafungua kilinge. kabisa
2025-02-18 12:08:45
47
@Ummy:#509.com :
me sijawah kuamin kwa kweli
2025-02-02 17:33:36
45
hicky_design :
hii tiktok unaweza kuwa mganga kimchezo mchezo
2025-02-04 13:09:52
168
joseem :
hii serikali ya kasongo ata uweke karafuu kwa matako haiwezi fanya kazi
2025-02-04 06:45:19
42
aisha ikram :
mbona nimeweka na nimekuomba wewe ujanipa ata mia
2025-02-02 16:54:23
51
queen_emmylina :
😂😂ngoja nijaribu nitarudi wapendwa😂😂
2025-02-19 18:35:08
17
l'homme fort yavuz :
kwa kiswaili chetu cha Congo hatujuwi karafu njo nini
2025-02-14 03:59:35
7
ikodir :
mimi nimeomba sijapatiwa
2025-02-03 16:23:37
14
sally_96 :
🤣🤣🤣🤣mnafundisha watu kuomba na sio kufanya kazi sio🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
2025-02-02 16:17:45
33
ggm_collection0760873234 :
labda karafuu ya huko Kongo...huku bongo hata uweke karafuu ya soko nzima utaishia kubabuka mdomo tu hata mia hupewi
2025-02-03 07:43:50
8
1maryhunnie :
pray to God 🙏🙏
2025-02-03 13:42:40
11
zerah🦋❤ :
nikiweka pakti nzima je apo vp😂😂😂😂
2025-02-03 16:33:10
14
To see more videos from user @dr.fathy.saidi, please go to the Tikwm
homepage.