@lumato_officiall: TABORA NAOMBA KUULIZA HIVI ASALI INALIMWA AU INAFANYWAJE HUKO KWENU. HARAFU MSALIMIENI MSEMAJI WENU MUAMBIENI SEMAJI LA MCHONGO ANAOMBA UMJIE NA ASALI KWENYE KIDUMU CHA LITA 3 KAMA KIPO#comedia #wamchongo #simba #sports #comedia #simba
lumato_official
Region: TZ
Sunday 02 February 2025 15:13:29 GMT
Music
Download
Comments
tony_wise56# :
ubaya ubwela😅😅😅
2025-02-02 17:08:37
3
@kwetu :
hahahahaha ila we jamaaa unacreativity kubwa
2025-02-03 19:01:12
3
EASTERN BOY🔯RIZKID :
smart phone in bad hand again 🤣🤣🤣
2025-02-02 21:29:07
3
Merina simba🦁 :
Good idea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-02-03 14:12:02
2
Udugu…..2..✅✅✅🦋🦋🦋🌏🌏🌏🔥🔥 :
Ubaya ubwela
2025-02-03 03:32:50
2
Victor massawe :
😂😂😂 ubaya ubwela 🦁🔥🔥🔥🔥
2025-02-02 15:38:16
0
FIGHTER ²⁸ :
OYA KAKA UNA CONTENT KALI KINOMA 🔥🔥🔥 WANAKEREKA
2025-02-03 05:57:05
56
user367286233126happy :
unanipa raha hadi unakera🤣🤣🤣
2025-02-02 16:39:12
38
elizabeth :
nani alikuwa bize na wigi la christinaaaaaaa kama mimi like hapaaaaa
2025-02-02 19:00:50
19
STEVEN SON19 :
hyo mwanamke kafanana na mshangazi wa tabora united 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-02-03 20:32:52
16
NOAH D.MOLLEL :
Sasa huyoo mwananchi mwezangu yeye amefanyaje lakin 🥹🥹🥹🥹
2025-02-03 13:41:18
8
I Am Dave Hashim :
KIBONGE KIMETEKWA LAKN KIPO SERIOUS NA ASALI BALAA😂🤗🤗😂😂
2025-02-02 23:01:12
11
verocuteeee08/7 :
😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila we semaj la mchongo 🤣🤣🤣
2025-02-03 05:05:05
7
boazilazaro :
😂😂😂😂😂jaman mm ila semaji la mchongo mbona utaniua kwa kucheka ..😂😂😂😂🤣🤣
ubaya ubwela.👍
2025-02-02 15:20:58
10
chimamy goa :
mim sijaolewa
2025-02-04 10:11:06
4
Alice Mfusse :
Semaji la mchongo utaniuwaaaa
2025-02-02 19:16:14
6
Hemed Salum :
nyuma mwiko fc anateseka vibaya mno 😅
2025-02-03 09:05:29
5
Alicea :
halafu viongozi nawashangaa sana hawajui kama timu ukiikandia ndipo pale inajipanga 😅😅
2025-02-04 05:47:14
4
ngoshahly :
basiiii nimekwishaaa
2025-02-02 15:27:21
4
RamAh9605 :
kwanini shoti kwanza 🤣😅😂
2025-02-02 18:33:07
3
ally bahjuni2024 :
why tabora 🐝 kasepa na utm wa nyuma mwiko 😂 ubaya UBWELA 😂😂😂
2025-02-03 19:26:06
3
said nuru :
kaka me shabik yako
2025-02-03 10:38:39
3
bayasilingi :
rudia tena kumpga shoti huyo utopolo!!,🤣🤣
2025-02-04 05:08:31
3
Fredson Kavellaga :
Ha ha ha ha ha ha ha
2025-02-03 21:34:09
3
moralskills :
Hahaha kalambishwa mwenyewe
2025-02-04 07:19:44
3
To see more videos from user @lumato_officiall, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.