Congo need to listen 🎧 wache mambo ya ukabila na kuwuwa watu wa Congo ndio wamejifanya hawataki kusikia
2025-02-04 17:51:24
4
litha sanyiwa :
nyerere alifanya kazi nzuri saana kuondoa ukabila bongo
2025-02-03 14:18:35
336
waihenya :
yani kabila zote za kenya ziko uganda na Tanzania apart from kikuyu.. no wonder kikuyu fought for independence.. hawakua na ichi ingine ya kwenda
2025-02-04 05:06:38
85
Simiu Isaac :
Nyinyi watazania in waonga wa vita Sisi' wa Uganda tuko tayari kwavita yoyote ewe ni Kenya Tazania Gongo Burundi hatuongobi kwani Bundungi Tunanua panini wewe Kama hounko Tayari kaa kando waka kerere
2025-02-03 18:04:52
3
mahmoudshariff322 :
Kwani hata Tz ubaguzi tele, mwajitenga Tanganyika na Zanzibar
2025-02-03 15:22:02
5
Maperfume Kitambaa Cheupe :
Kabudi katisha sana
2025-02-06 06:59:40
2
CC#proud#Embu#Catholic🇰🇪🇬🇧 :
Hata mseme nini I love my Kenya and I will never want to be one of your perceived perfect country. I LOVE KENYA 🇰🇪 😍
2025-02-04 07:52:28
9
tuma :
huyu hajui anacho zungumza pale pana vita yakimaslai sio yamakabila toa ujinga wewe wanzungu wamejaa pale wanaukabila nanani
2025-02-03 14:38:21
41
priva :
Tanzania there's no discrimination, peace is the best remedy
2025-02-03 15:03:17
151
user8082102822700 :
You qre wrong about Kenya. Ukabila Kenya niwakati wa uchaguzi tu. After that, Kenyans are one.
2025-02-03 17:31:22
15
chuli :
watanzania halisi ni wazaramo tuu😅
2025-02-03 21:40:09
11
LEADER M-KEY🇨🇩ESPOIR NORBERT :
ubaguzi umeenza tz
2025-02-03 13:50:05
4
Waza waza :
Banyarwanda were settled in Congo by Belgium masters after taking over German Rwanda Urundi colony with WW1 German defeat
2025-02-03 23:09:51
0
Ndogino :
I don't understand your point. Tribalism in Kenya is just in lips of the politician not actions.
2025-02-03 17:05:06
29
bene124_ :
Eti baguwane wa Rwanda have to stop the killing in Congo
2025-02-04 05:17:49
20
Mr. Big Kahuna :
Sijawai sikia wamaragoli wa TZ, mimi ni Maragoli mkenya
2025-02-03 21:31:55
19
Hermann Joseph Kagimu :
THIS IMPORTANT SPEECH BY HONOURABLE PROFESSOR PALAMAGAMBA KABUDIOF TANZANIA 🇹🇿 SHOULD BE FORWARDED TO ALL UNIVERSITIES IN EAST AFRICA FOR EDUCATIONAL PURPOSES 👌👏♥️👍
2025-02-03 14:03:09
111
Erick Damasius Mkuya :
Kuna wameru wa kenya na wameru watanzania
2025-02-03 14:11:02
71
Simba :
wakamba tanzania kweli???🤣
2025-02-03 15:24:40
27
254-6633 :
leave kenya out .we will solve our problems alone.
2025-02-04 18:37:37
7
Billy muiru :
ukabila wetu kenya ndio nguvu yetu. tz ujamaa uliwarudisha nyuma sana. ukaabila wetu ni wa kisiasa lakini sio kwingine. tz mliporimoka juu ya huo udungu wa kupita kiasi.
2025-02-04 05:11:24
3
MAMA APOSTLE :
ooh my God mtanzania harisi n mgogo tuu ninyi wengn taften kwenu😂😂😂😂
2025-02-07 11:29:08
5
To see more videos from user @mwalimusteph, please go to the Tikwm
homepage.