iv mbaka saso atage njia inafunguka vidole vingapi
2025-03-21 10:37:13
0
user8484238983626 :
Hivi kuku chotara nae huatamia?.. Maana ninaemmoja ambae baada ya muda fln Hua ana viashiria vya kuatamia, ikiwemo kukaa muda mrefu kweny kiota pia hutoa Ile sauti ya kuku anaetamia...
2025-03-08 06:38:45
1
user163816946275 :
me kuku wangu wanachanyana sehemu ya kutaga yani alipotaga mwenzio na mwingine anataka hapo hapo,ata mwingine akianza kulalia mwingine anakuja anataga hapo hapo,hii kitu inanitatiza sana,
naomba ushar
2025-03-04 14:54:19
1
user183190480581mwana khatibu :
kwani hapo hadonoi😆😆
2025-02-04 11:55:06
1
@infinity empire :
na akitakakujua kua ana taka kutaga unajuaje
2025-03-21 10:38:50
0
SAMSONI MSOFFE :
❤❤❤
2025-02-04 16:08:47
2
Dorcas Clemence :
🙏🤝
2025-02-09 14:14:38
1
abracadabra :
🥰
2025-02-07 15:11:13
1
asleytuppa :
🥺🥺🥺
2025-02-05 17:59:55
1
To see more videos from user @agalusfarm, please go to the Tikwm
homepage.