WANWAKE WOOTE allah awajaze kher na awajaalie waingia peponi
2025-02-08 10:10:35
234
Baba Kendrick Skyler :
huyu mwanamke ndo anatujua wanaume vizuri sio kama yule mdada anayekujaga na fomula ya kutengeneza dawa ya nguvu za kiume utadhani alishawai miliki uboo
2025-02-09 06:03:35
273
BajuniTalentComedy :
Nauliza Hivi wanawake mbona Hamjii hapa kumsikiliza Huyu Raisi wa wanawake🔥🔥🔥💯
2025-02-08 08:59:15
184
Melokeletz👆 :
Kunamtu anatoa siri zakambi uko🤣
2025-02-08 09:59:03
158
Neema Zablon :
na mm ambaye nina kigugumizi wakati wa kuongea 🤣🤣 itakuwje ss
2025-02-08 12:34:54
39
user4818094159734 :
yaan nafata ushaur wako, maisha yangu ya ndoa yako mazur sana
2025-02-08 09:27:57
140
official muhan :
me wangu nikimpa umbea anasikiliza kila kit ila vingine aaah mapem t kashahama 😂😂😂
2025-02-09 13:41:05
51
🅣ⓔ🅓 :
A very intelligent woman🙄✅
2025-02-09 02:48:39
22
𝐂𝐔𝐄𝐍𝐂𝐀 :
Ilo swali la kuulizana "uko wapi", hatulipendi!!!
2025-02-08 22:35:45
5
Mama Fety :
yaan huyu mdada alifaa aolewe na mume wang, nahc ungemfaa xn coz anapenda hizo mambo za kumnyenyekea ila me nachukia htr
2025-03-02 18:30:01
8
Patrick A Yordan :
Huy dada taarfa Za kwenye kikao anazitoa wapi
2025-02-08 21:41:36
20
yr luchapa :
mume wa uyu dad inabidi aitwe kwenye kamati ya maadili haiwezekani mkeo ajue mambo yetu yote tunayo kubaliana kwenye kikao chetu
2025-03-12 07:50:02
7
The network films :
tunaomuelewa hyu dada tujuanae❤
2025-02-11 15:35:26
20
RONICKAG BUILDERS 👷♂️ :
Huyu dada huwa anajifanya kutuhudumia chai kwenye vikao vyetu wanaume kumbe huwa anaandika kila kinachoendelea kimya kimya 😅
2025-04-26 05:36:30
9
Mtwara :
huyu pisi apewe ulinzi mkali sana
2025-02-08 22:13:48
20
The Pressman, Kenya :
This woman should be given some standing ovation 👏
2025-02-08 14:39:35
12
Mbwana400 :
huyu dada hizi siri zetu kazipata wapi?
au tukitoka kwenye kikao kuna mtu anavujisha siri nini!!😂
2025-02-08 12:57:27
6
Mr.facts :
huyu aliingiaje kwenye kikao chetu😂😂😂😂
2025-02-09 18:43:28
6
Ithe_wa_ciku :
it's a trap, valentine Iko karibu wameanza kuchange tactics 😂😂
2025-02-09 23:16:42
10
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm
homepage.