@nurunaimani: Mtume (saww) ametufundisha kuwa mnapokuwa na janaba, msililishe watoto wenu katika hali hiyo, kwani inaweza kuwa na athari kwa tabia zao katika maisha yao. Kadhalika, Mtu aliyeko katika hali ya janaba anapaswa kujitoharisha haraka, lakini ikiwa atahitaji kula kabla ya kufanya ghusl, basi afanye udhu kwanza. Hii inaleta baraka katika chakula chake na ni ishara ya unyenyekevu mbele ya Mwenyezi Mungu. #nurunaimani #nuruyetu
Ukiwa na janaba ni kweli huwezi kula, maana ukila lazma utaje jina la Mola, je yajuzu kumtaja Allaah kama una jababa?
2025-02-08 16:48:20
7
@Nisher 001 🦋😘 :
eeeh makubwa mume kapiga show takatifu 😂tusinwe ht maji
2025-02-09 18:21:04
16
Abu zain :
Aysha (r.a) ameeleza kuwa: Mtume (s.a.w) alipotaka kula au kulala akiwa na janaba, alikuwa kwanza akitawadha kama anavyotawadha kwa ajili ya swala. (Bukhari na Muslim).mafunzo sahihi,megine ni porojo
2025-02-08 15:38:10
39
user1011528845404 :
huyu dini ake ni tofauti na uislamu
2025-02-08 19:08:27
8
Radhi Ni mali :
utakuta jambo linawahusu waislamu peke yao lkn utaona baadhi ya umbwa hazina wenyewe zinakuja kubweka na kelele zao hapa 🥺 si muangalie hiyo dini yenu makosa yenye yako tele nendeni mukacheze ngoma
2025-02-09 01:44:13
5
NURU YETU :
Maneno yaMtume kwenye kitabu {Bihar al-Anwar, Juz 80 uk 141 Au Soma Maneno ya Imam Ali As Kwenye kitabu cha Mustadrak al-Wasa'il Juz ya 2, ukurasa 484
2025-02-08 16:33:36
5
Bafafa :
Haya ni mambo hayajulikan
2025-02-08 09:47:01
9
To see more videos from user @nurunaimani, please go to the Tikwm
homepage.